Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Acha kutupiga fix, wa mabilioni biasha hira hawalipi kodi wengi. Ujanja ujanja tu kama ilivyo sasa hivi
Mzee magu aliua sector binafsi huo ndio ukweli makampuni mengi yalishindwa kuajiri
Hapa ndio watanzania wengi tumekwama na tushakwama.
Pesa nyingi sana inapotea kusikojulikana. Mwaka uliopita tu report ya CAG ina upotevu wa trilion 3. Hebu niambie hii trillion 3 ingetumika huko kwenye elimu unafikiri ungesema kuna hali mbaya?
Tuliwahi kulipa ada huko zamani kwa Watoto wetu, je mazingiria ya elimu yalikua bora?
Kabla ya kusema nchi yetu changa hatuwezi kutoa social service free, basi tunapaswa kuanza na pesa zinazopotea kila mwaka.
Wenzetu wametuweza hapo.
Maji na umeme tunalipia, hebu tuambie Kama huduma ni nzuri
Brother uko sahihi ila kila jambo linaenda kwa wakati na mpango hata vita in level zake. Kutenda kosa ila kosa kurudia maana yangu elimu Bora kwa vijana wetu ndio tiba ya matatizo mengi yanayoikumba jamii yetu. Na maana pesa zilizoanza kupelekwa kugharamia elimu bure tungepeleka kwenye kuboresha mitaala na miundombinu ya taasisi zetu ingekuwa bora zaidi kuliko kutoa free education ambayo haikidhi viwango. Hali ilivyo kwenye mashule yetu ya chini sio nzuri ukiangalia unatoa machozi, tuache ushabiki Tanzania bila elimu bora ni kichekesho.
 
Yaani Awamu ya nne Rushwa ilikuwepo sana... Hata leo hii pale TRA, haya mambo yapo....
Sasa kuna tofauti ya rushwa ya awamu ya nne na rushwa ya awamu ya tano..

TOFAUTI NI,

awamu ya nne hawakumalizi ukafilisika..

awamu ya tano wanakumaliza na unayumba kabisa kiuchumi.. Kulikuwa na combination ya TRA, Polisi na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wote wanataka hapo hapo... Na ukikaa vibaya unapotezwa jela au unapewa uhujumu uchumi..

Nenda pale Geita Mjini.. Kuna wakati wafanyabiashara wa madini 40 at once wapo ndani na DPP yupo nao.. Kwa maelezo vipi unataka kutoka sasa hivi au bado unabisha kutoa salio bank.. ? Wengi wakaona wajiokoe.. Sasa unaanza kupigiwa mahesabu... Hela ya usumbufu, hela ya TRA yenyewe... Hela ya Polisi au Mpelelezi... DPP mwenyewe.... Yaani kuna msururu ya watu hapo nyuma..

Ukitoka huko hutaamini... Unaweza kujikuta unaanza upya maisha
Hili ndio tatizo, unajua shida ni usahaulifu. Hata baada ya muda huenda hayo ya awamu ya 5 pia yakasahaulika ni masuala ya muda.
Hayo uliyoeleza kutokea awamu ya 5 yalitokea pia awamu ya 4 chukulia tu mfano rahisi na ambao ilikua habari kubwa wakati huo kwa kilichomtokea Saad wa kariakoo. Utajiri wake ukahamishiwa kwa watu fulani wakishirikiana na ofisi kubwa.
 
Mzee magu aliua sector binafsi huo ndio ukweli makampuni mengi yalishindwa kuajiri

Brother uko sahihi ila kila jambo linaenda kwa wakati na mpango hata vita in level zake. Kutenda kosa ila kosa kurudia maana yangu elimu Bora kwa vijana wetu ndio tiba ya matatizo mengi yanayoikumba jamii yetu. Na maana pesa zilizoanza kupelekwa kugharamia elimu bure tungepeleka kwenye kuboresha mitaala na miundombinu ya taasisi zetu ingekuwa bora zaidi kuliko kutoa free education ambayo haikidhi viwango. Hali ilivyo kwenye mashule yetu ya chini sio nzuri ukiangalia unatoa machozi, tuache ushabiki Tanzania bila elimu bora ni kichekesho.
Hiyo hali kwenye shule zetu iliwahi lini kuwa nzuri? Social service zingine zote tunalipia, maji, umeme , hospital huko pako vizuri?
Huduma za afya tunalipia kwa gharama lakini nenda kwenya mahospital yetu uone Kama pako vizuri.
Tatizo tulilonalo sio kulipia Wala kutolipia huduma. Tatizo letu kubwa ni hatuna UONGOZI. Hata Leo tuanze kulipia kila mwaka mil 1 kwenye elimu, kamaa hatuna UONGOZI BORA ni kazi bure.
Vyuoni tunalipa ada kupitia bodi ya mikopo na wanaolipa wenyewe binafsi. Kaangalie hali za huko Kama ni nzuri
 
Jeshi la polisi wanilidharau lakini kuna wengine tunajua mziki wao, kuna kipindi mauji na uharifu wakutumia silaha ulikithiri kigoma kilichotokea ni historia. Walikuja marastaman kujifanya wachoraji, wengine wasanii Dah! warundi walikaangwaa kwelikweli. Kuna sniper aliwatwanga za kichwa majambazi kama saba wote walimwagwa hospital vichwa vimetobolewa. Tuache siasa ukijua kulaumu basi jua na kushukuru, viva maafande wetu mnafanya kazi nzuri
Kuna Rasta mmoja now ni mkuu wa kituo cha polisi mpakani huko kama unaingia burundi

Jamaa time tunakuwa tulikuwa tunaambiwa ni jambazi kumbe ni KM

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wapo hata Rocky city yupo ana rasta anavaa bangili Kama mganga wa kienji usiombe kuingia mikononi mwaka

Watu wa mauaji ya albino wanamjua
 
Hiyo hali kwenye shule zetu iliwahi lini kuwa nzuri? Social service zingine zote tunalipia, maji, umeme , hospital huko pako vizuri?
Huduma za afya tunalipia kwa gharama lakini nenda kwenya mahospital yetu uone Kama pako vizuri.
Tatizo tulilonalo sio kulipia Wala kutolipia huduma. Tatizo letu kubwa ni hatuna UONGOZI. Hata Leo tuanze kulipia kila mwaka mil 1 kwenye elimu, kamaa hatuna UONGOZI BORA ni kazi bure.
Vyuoni tunalipa ada kupitia bodi ya mikopo na wanaolipa wenyewe binafsi. Kaangalie hali za huko Kama ni nzuri
Tatizo la uongozi hapa kwetu linachukuliwa " personal '' ndio maana mizigo ya mavi wanabebeshwa viongozi wa juu. Nchi yetu tuna hulka na ushabiki wa personality kuliko uhalisia wenyewe wa namna nchi inapaswa iongozwe. Watu wanacheza aina zote za mziki walicheza raggae ya magu hivi sasa wanacheza rumba ya mama samia. Binafsi sina ushabiki maandazi uongozi Tanzania haujawi kupata tiba sahihi tunaweza kuwa na Rais mzuri ila delegated wake wakawa short sighted mind, majitu yamejaa tamaa fisi havafai.
 
Kuna Rasta mmoja now ni mkuu wa kituo cha polisi mpakani huko kama unaingia burundi

Jamaa time tunakuwa tulikuwa tunaambiwa ni jambazi kumbe ni KM

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hahaaha hayo maeneo kuna jamaa alienda kuwa kocha wa mpira akifundisha timu moja maarufu pale kumbe ana peleleza njia za magendo na culprit wake. Within two mouths watu kigoma mjini walifirisika.
 
Vasco haweki kukaa pembeni unless he's eliminated. Ana power kubwa sana, ameweza kuiweka kampuni kwenye kiganja. Awe eliminated tu, sema dhambi ya kueliminate maceo huwa ni endelevu, ukimmaliza huyu, anayekuja anakumaliza.
And thats why nasema kisasi kutatembea. Nadhani siyo best option. Hv current CEO anakubali vipi kuingizwa huku? Kwanini achague kyishi kwa mashaka?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
There you are my sister. Am always on your side.Ziko njia nyingi sana,leo hii tunaweza tusione madhara ya damu lakini vizazi vijavyo vikajikuta vinakutwa na misuko suko na wakitafuta chanzo wanaambiwa baba zenu na babu zenu walimwaga damu za watu wengi sana,watajisikiaje?
Exactly. Ni kama kwenye familia. Yaan kisasi hakiishagi. Yaaani wanabebana sanaa. Wanamalizana. I have seen. Same na hii ya jiwe pia. Ni tatizo kubwa sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Unajua wengi mnashindwa kuelewa hawa wanasiasa ni watu wa aina gani, mnawapenda na kuwageuza kuwa malaika.
Kuua ni jambo dogo sana kwa mwanasiasa.
Ni kweli kabisa. Unajua madaraka yanalevya kuliko hata mirungi eh. Yaanii ukishayaingia tu ni kosaa. Hutamani kuyaachia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yaani Awamu ya nne Rushwa ilikuwepo sana... Hata leo hii pale TRA, haya mambo yapo....
Sasa kuna tofauti ya rushwa ya awamu ya nne na rushwa ya awamu ya tano..

TOFAUTI NI,

awamu ya nne hawakumalizi ukafilisika..

awamu ya tano wanakumaliza na unayumba kabisa kiuchumi.. Kulikuwa na combination ya TRA, Polisi na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wote wanataka hapo hapo... Na ukikaa vibaya unapotezwa jela au unapewa uhujumu uchumi..

Nenda pale Geita Mjini.. Kuna wakati wafanyabiashara wa madini 40 at once wapo ndani na DPP yupo nao.. Kwa maelezo vipi unataka kutoka sasa hivi au bado unabisha kutoa salio bank.. ? Wengi wakaona wajiokoe.. Sasa unaanza kupigiwa mahesabu... Hela ya usumbufu, hela ya TRA yenyewe... Hela ya Polisi au Mpelelezi... DPP mwenyewe.... Yaani kuna msururu ya watu hapo nyuma..

Ukitoka huko hutaamini... Unaweza kujikuta unaanza upya maisha
Leo wamekuja mabibi Afya, nilikua mbali. Wanakuja wanajazana shenzi wale. Wenyewe ukiwaangalia wachafu vibaya mno. Ubaya nilikua mbali.. nimefika ndo wameondoka. Nilikua natamani kuwaamshia popo. Ikibidi iwe kesi vs jamhuri. Ikibidi na sisi tukawakague majumbani kwao. Kila kitu wanachukulia rahisi sana. Yaan wana tabia wanakuja kitask force. Wanajazana na maaskari kuwatisha watu. Stuppid. Hapa wanatengeneza mazingira ya rushwa tu. Bahati yao yaani. Kuna wengine walikuja ofisi ingine. Good lucky nilikuwepo. Niliwanyoosha. The last word i told them ni wakiendelea kusumbua pale nitafanya maamuzi magumu ambayo watajutia. Niliwaambia kama ni kosa nakubali acha control nimber hapo. Walikuja na mabaunsa wamechora na tattoo. Nikawalazimisha kutoa vitambulisho. Mwenye tattoo hakutoa. Nikamwambia skia, wewe jamaaa ni mhuni. Na wengineo. Hakuna mtumishi ana tattoo. Nikawaambia wale madogo ole wake atakayeondoka na hawa watu ama atayetoa mia ofisini na kazi hakuna na nikawaambia wale nisikute barua ya wito sina ugomvi na majirani nina makosa hivyo acha control number tu nijisikie raha kulipa na kuitajirisha nchi yangu. Hawakuacha hata kimoja. Mbele huko wakaenda kuyukana kweli na kusema hawataoa mwanamke wa kichagga asilani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan huwa kuna muda wakiona hawana hela hawa watu wanatafuta mbinu za kukusanya pesa yaan wengi wamefilisiwa kwa hizi task force zao. Yaan wanakutisha wanakuja wengi na wanaitana. Napenda vitu straight. Mtu umeenda omba ajira ridhika na unachopata kama mzalendo. Haikuridhishi achaaa. Or else mtaani hapafai. Hizi hela zinapatikana kwa shida sana.

Umeongea ukweli.Mtu unamkuta eti Afisa misitu wakati kwake hana mti hata mmoja atajua umuhimu wa miti kweli huyu na kuitunza kwa upendo?

Viongozi wengi ni wachafu nenda ofisini kwake unakuta limeza lichafu, kuta zmechakaa, paa la nyumba limeachama, vioo vya madirisha vimepasuka ameweka kipazia uijue rangi yake mpaka upime DNA,kuta zina nyufa na ni mazalia ya popo, mitaro maji yamekuwa ya kijani lakini yeye yupo tu na kitambi chake anakula chapati na supu ya upupu eti sorry niko na majukumu ya taifa.

Unajiuliza wewe uliyefuata huduma hapo ninaweza kusubiri kwa muda gani mpaka amalize kabla sijatapika (samahani linaleta kinyaa) nisepe zangu niondokane na kadhia hii, yeye yupo miaka yote hapo. Siyo kwamba hana bajeti utakuta inatengwa lakini inapigwa. Na huyu ni mfanyakazi wa NHC,Wakala wa majengo n.k

Siyo wote lakini wengine wanajitahidi sana kama watu wa Afya(Hospitals, dispensary,),TAMISEMI mjirekebishe.
 
Kweli mkuu you nailed it
 
Back
Top Bottom