mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Ila pamoja na kuwa fiction ni kuwa kuna ka uhalisia fulani wa mambo yanavyoenda hapa kwetu,pia ukiangalia team Born town wote ni wa dini moja...Mkuu yoga, una kipaji adimu sana cha story telling, ukifika last episode, compile this into manuscript na ku publish kitabu, kitakiwa #Best Sale!.
Keep up this good work, nadhani tukifanya mashindano ya story telling, you are the best, umetengeneza hii fiction story which is so real hadi mtu kuamini it's a non fiction!. Mzee wetu Mohamed Said
atasubiri.
P