Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Mkuu huko kwenye kampuni kuna mengi sana hatujui..Vita ni kali, uwezekano wa kumstaafisha mstaafu ni mdogo sana.
Nasikia kuna komando mmoja akimwambia late CEO kuwa huwezi kuongoza kampuni bila kumwondoa born town. Akaomba apewe kazi ya kumwondoa born town. Late CEO akachelea mwana kulia. Kalia yeye.
Late CEO ni kama alimdharau born town kiuwezo katika medani ya vita. Ni bora angekubaliana na yule komando.
Kiufupi Late CEO alijaribu sana tuu..
Narudia.. Late CEO hakumdharau... Bali alijaribu... Uzuri born town alikuwa akipewa taarifa kabla..
Hukuwahi kusikia mtaani kipindi flani walitumwa watu 5 kwa kazi maalum juu ya born town 4 wakarudisha jezi kwa kipa?