Dunia itapigwa mapigo ya kutisha, bahari na mto Nile vitakauka, jambo litakalopelekea taabu, maji yatapatikana CHANZO Cha mto NILE pekee ambapo ni Tanganyika.
Isaya 19:5-7. Ni hivi:
Baada ya Gharika, Nuhu alizaa watoto watatu.
1.Hamu 2. Yafeth 3. Shemu.
Dunia yote imejazwa mataifa Kutoka hao watatu.
.HAMU kamzaa :
1.Kushi 2. MISRI 3. Put 4. Canaan.
YAFETH kamzaa:
1.Gomeri 2. Magogu 3.Madai 4. Yaani 5. Javani nk.
Shemu akamzaa:
1.Elamu 2. Ashuru 3. Alfaksad 4. Ludi 5. Aramu
MATAIFA YOTE YATAABUBU PAMOJA. Isaya 19:23,24.
Katika siku hiyo itakuwako njia KUU itokayo MISRI na kufika hata ASHURU,
Mwashuri atafika MISRI na MISRI atafika Ashuru. Na wamisri wataabudu pamoja na waashuri.
19:24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa TATU pamoja na MISRI na Ashuru.
Watakuwa baraka kati ya Dunia.
MADHABAHU MISRI: (Isaya 19:19.).
Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika Nchi ya MISRI Kwa BWANA.
TAFSIRI YA MISRI KIUNABII.
1. MISRI ni mtoto wa HAMU mwana wa NUHU.
2. MISRI ni Nchi iliyopo Africa, usisahau Wana wa HAMU kushi na Canaan, Puti na MISRI ni mataifa ya AFRICA.
3. MISRI ya KIROHO. Tanganyika au NYIKANI. Ufunuo 11:8.
Mji Ule mkuu, uitwao Kwa jinsi ya ''Roho'' Sodoma, na MISRI.
Ikumbukwe kuwa mji wa Sodoma na gomora na Gaza alitawala mtoto wa HAMU aitwaye Canaan alielaaniwa na babaye. MWANZO 10:1-32.
TANGANYIKA au NYIKANI kama sehemu salama ya kukimbilia: (Ufunuo 12:6,14).
JoKA akisubiri MWANAMKE azae Ili ammeze mtoto., MWANAMKE akazaa, mtoto akatwaliwa MBINGUNI.
JoKA akakasirika, yule MWANAMKE akakimbilia NYIKANI ambapo ana Mahali palipotengenezwa na Mungu Ili wamlishe huko muda wa siku Elfu mia mbili na sitini.
MTOTO=YESU,YESHUA,ISSA alienyakuliwa Mbinguni.
MWANAMKE=KANISA,KUSANYIKO la waaminio MUNGU mmoja.
Mahali SALAMA panapoandaliwa kumtunza MWANAMKE au kanisa, wamwabuduo Mungu mmoja ktk siku hizi za mwisho ni TANGANYIKA.
Ufunuo 12:15. NYOKA akatoa maji mithili ya mto ammeze,Nchi ikamsaidia MWANAMKE, ikayameza maji, MTO NILE ukakauka.
Tanganyika akimbiliapo MWANAMKE maji hayatakauka ambapo ndio chanzo Cha mto NILE.
MATAIFA YOTE wamwabuduo Mungu mmoja na Kumkiri YESU kuwa ni Masihi watakuja huku ambapo Mungu amepaandaa special walindwe dhidi ya JoKA. Na huku pekee ndo patakuwa na MAJI.
ABT, KITI CHA U-CEO wa kampuni yetu kutokalika:
Fuatilia Unabii juu ya KAMPUNI yetu, ingia You tube,, manabii wengi wameonyeshwa juu ya Hilo.
Pia imagine Mungu aiandae Nchi yetu kupokea jambo kubwa kiasi hicho amini lazima KUTIKISIKE na KUCHIMBIKE.
Asomaye na afahamu. Amen