SPYnoCODE
Senior Member
- Jun 3, 2022
- 151
- 273
Ushawishi wako hauna nguvu bado.Huyu mama aliyeonekana mostly kwenye hizi picha ndiyo malkia wa Uzi huu.
Je kwanini usihisi yoga ndiye yule bodyguard wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawishi wako hauna nguvu bado.Huyu mama aliyeonekana mostly kwenye hizi picha ndiyo malkia wa Uzi huu.
Nchi za kiafrika ziwashinde wazee wa NWO ni ndoto mkuu,atakayekuja atajaribu but hatodumu Kama mwendazake tuu!Umenena vyema,
Huku kwetu, hapa nyumbani, hao wazee wa NWO watachemsha, litasimama JABALI litakalotikisa Ulimwengu,
Namuona lakini Si sasa, NYOTA itang'aa tena , ni karibu, Si mbali.
Ameee
Ushawishi wako hauna nguvu bado.
Je kwanini usihisi yoga ndiye yule bodyguard wake
Ni kweli ukisemacho, sisi ni dhaifu kwao lkn tunatunishiana misuli sisi kwa sisi..Nchi za kiafrika ziwashinde wazee wa NWO ni ndoto mkuu,atakayekuja atajaribu but hatodumu Kama mwendazake tuu!
OSAGIEFO was right.Ni kweli ukisemacho, sisi ni dhaifu kwao lkn tunatunishiana misuli sisi kwa sisi..
Na hilo ni gumu sana kwa maana tayari tumeshaota na mizizi kwenye huo mfumo wao, tusubiri matokeo kwa maana mipango yao ni over 2000+
Tumekumbuka shuka na kumeshakucha !
Yalishatabiriwa long years before us
Naam ipo wazi kwa OD kwa namna tatuUnataka kusema je ?najua odii atukua president wa muda mfupi tu pale kenya yupo atakayeishika nafasi yake kisawa sawa ila sijajua uhusiano unataka kuleta na bt
Unauhakika?Umenena vyema,
Huku kwetu, hapa nyumbani, hao wazee wa NWO watachemsha, litasimama JABALI litakalotikisa Ulimwengu,
Namuona lakini Si sasa, NYOTA itang'aa tena , ni karibu, Si mbali.
Ameeeeen.
Mungu Si MTU aseme uongo,Wala Si mwanadamu adanganye. Akisema linatimia 100%.Unauhakika?
Binafsi Kura zikitosha Rutto is next president, na zitatosha tena nyingi tuNaam ipo wazi kwa OD kwa namna tatu
1. Akubali kuwa kivuli kwenye kiti
2. Akubali kuachia kwa hiyari (kujiuzulu).
3. Alazimishwe kuachia peacefully rest without public recognitation.
Nadhani maombi ni muhimu Kwa sasa. Hao ni ndugu zetu wa damu.Binafsi Kura zikitosha Rutto is next president, na zitatosha tena nyingi tu
Upo sawa kabisa mkuuNadhani maombi ni muhimu Kwa sasa. Hao ni ndugu zetu wa damu.
Binafsi Kura zikitosha Rutto is next president, na zitatosha tena nyingi tu
Mimi pia natamani iwe hivi ila kwa boksi la kura ni kudhihirishia dunia kuna demokrasia ila kila kitu kimepangwa tayari, na itabaki kama wish.Nadhani maombi ni muhimu Kwa sasa. Hao ni ndugu zetu wa damu.
Najua Hilo. Ni maombi yangu maisha ya Jirani zetu yasiwekwe hatarini sababu ya mipango ya Gizani.Mimi pia natamani iwe hivi ila kwa boksi la kura ni kudhihirishia dunia kuna demokrasia ila kila kitu kimepangwa tayari, na itabaki kama wish.
GreatView attachment 2318886
Hiki kitabu kimenyambua kwa kiasi chake
Aaah wapi mwacheni mtoto wa kipare hausiki kabisa.Huyu mama aliyeonekana mostly kwenye hizi picha ndiyo malkia wa Uzi huu.
Na kitu pekee ambacho naona kitaweza kuinyima nguvu hii NWO ni viongozi wa afrika kuungana na kuwa kitu kimoja na kutoruhusu propaganda za whitesOSAGIEFO was right.
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya"!