Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ona tapeli linavyowalisha watu udanganyifu.

Huyo KIKWETE hana uwezo wala nyenzo yoyote ya KUMUUA RAIS WA NCHI.

Naona unajaribu kufunika funika ukweli kwa kutengeneza uzushi na vijistori vya kuhadaa nyumbu.

Tunakucheki tu tunasema Hiiiiiiii....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivyong'aka Mkuu, umetisha sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] funy question! But siriaz one!?? Eti do you know me??? Hope so!! [emoji120]
Kaka muarabu VIKITIM Ana story a
Yake bas na yey anaringishia watu wanamuomba aendeleee jinsi alivyo funjiwa yai lake kwa Mara ya kwanza na kak muarabu anaringaaaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ifike mahali nyie ambao mnanguvu nchi hii kutengeneza nchi ambayo viongozi wake Wana maono ili wahakikishe nchi yetu inakuwa Kati ya nchi yenye uchumi mkubwa duniani Kwa sababu tunarasilimali ya kutosha yaani tunamaliasili na rahisilimali watu wa kutosha.Mbona nchi za Asia zimepata maendelea haraka Sana kwanini tusijifunze Kwa waliofanikiwa?tukiendelea kuwakumbatia viongozi wanaotumia nafasi zao Kwa maslahi Yao na familia zao,viongozi mafisadi,viongozi wasio na maono na nchi yetu vizazi vijavyo vitatuona kuwa ni wajinga.viongozi wetu wakienda huko ulaya wanadharauliwa mfano Kwa kupandishwa kwenye mabasi wakati viongozi wa nchi za maana wakitumia magari Yao binafsi.haya mambo yatufanye tutengeneze uchumi wetu uwe mkubwa kama ili tuheshimiane.wanashindwa kutuheshimi Kwa sababu nchi zetu zinarasilimali za kutosha lakini bado tunaombaomba kwao.wenye mamlaka na wananchi wote tuamke sasa tunarasilimali za kutosha tujenge nchi yetu ili tumeshimiwe.tuamke vizazi vijavyo isituone kuwa Sisi ni wajinga.
 
Back
Top Bottom