Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gan hapa mkuu
Kihaya ichowazee wa vidoti naona saivi wamebadilisha technique wanapost kikorinto
Kihaya icho
God is good!!Hapo anamaanisha nini?
😂 😂 😂 😂 Mizengo Pinda..
Tukiweka na hiyo alama ya kuuliza maana yake inakuaGod is good!!
Hizo takwimu umezitoa wapi mwenzetu?Nachambua taarifa za sensa,
Kumbe dar yenye Zaid ya watu 8 ml na mza yenye Zaid ya watu 6ml wakishiriki kiufasaha kupiga kura na kizisimamia,
Wakishirikiana vilivyo na majiji yote,
Rais wamtakaye anapita asubuhi na mapemaaaa!!!!
Hakika, kumbe nawe ulikuwa unapigwa jua la chinangali huko ?Nachambua taarifa za sensa,
Kumbe dar yenye Zaid ya watu 8 ml na mza yenye Zaid ya watu 6ml wakishiriki kiufasaha kupiga kura na kizisimamia,
Wakishirikiana vilivyo na majiji yote,
Rais wamtakaye anapita asubuhi na mapemaaaa!!!!