Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ninamashaka kama kampuni hii ina hao wanaojiita deep state/watu wanaolinda maslahi ya nchi Kwa sababu ya mambo yanayoendelea Kwa mfano ubadhilifu wa Mali ya Uma au ufisadi.watu wanajipigia kila upande.I think the don't care about us.
Deep state yetu usikute wengi hukubali kuwa "chawa" wa viongozi, kwa maslahi yao binafsi na wala siyo kwa maslahi ya Taifa. Bado tunayo safari ndefu.
Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya maslahi ya nchi yako na wananchi wake. Na wala siyo kufanya kazi ili kuwafurahisha viongozi wasio wazalendo!
Hatuwataki tena kina Chief Mangungo katika nchi yetu (kwa maana ya viongozi wanaojali matumbo yao tu).
 
Deep state ipo!

Inafanya kazi sana katika Namna ambayo Wewe ni ngumu kung'amua!!

Mf;-

Awamu ya nne UFISADI ulitamalaki sana, UFISADI ule ulisaidia mzunguko wa fedha hata KWA masikini na ilipangwa iwe vile KWA kauli mbiu ya Maisha bora KWA KILA Mtz na kweli watu waliinuka kiuchumi Sana KWA kukwepa kodi,kielimu (tuliosoma KWA bodi ya mikopo na udahili chuo kikuu ukaongezeka Sana na ajira zikapatikana KWA wasomi),dili zikawa NYINGI Sana na full kujuana!!

Okh

Sasa deep state wakamuibua jpm,akaja akakaza na fedha NYINGI zikarudi KWA serikali Hadi matajiri wakafilisika na kodi ikawa juu na miundo mbinu ikajengwa haraka haraka!

Watu wakalimia meno kweli kweli na mafisadi wakakimbia NCHINI!

Sasa Hali imerudi tena kama awamu ya nne na itadumu KWA muda mfupi sana!haitokuwa tena miaka kumi kama ya jk bali itadumu chini ya miaka minne au mitatu (mtazamo Binafsi Baada ya ku digest nyuzi za ki jasusi humu jamvini)!!

Halafu

Atasimama jpm mwingine na fedha zitarudi serikalini na UFISADI utaisha kabisa na patashika ya mafisadit kuzirudisha fedha itavuma Sana!!

Chuma hicho kitadumu KWA miaka 12 Hapo mbeleni!!

Deep state inafanya kazi katika Namna ambayo SISI hatuwezi imagine hizo fedha zote zitarudi!

TUSUBIRI
Natamani hii iwe kweli
 
Nani kasema pesa hela yetu ya mwisho ni Tsh 10000?

KWANINI isiwe 100 au 500?

Kwani hii dunia inaisha lini ili tuanze upya?
 
Deep state yetu usikute wengi hukubali kuwa "chawa" wa viongozi, kwa maslahi yao binafsi na wala siyo kwa maslahi ya Taifa. Bado tunayo safari ndefu.
Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya maslahi ya nchi yako na wananchi wake. Na wala siyo kufanya kazi ili kuwafurahisha viongozi wasio wazalendo!
Hatuwataki tena kina Chief Mangungo katika nchi yetu (kwa maana ya viongozi wanaojali matumbo yao tu).

Umeona watu wa kufiwa hapa?
Unaweza jitoa na ukawaambia ukweli ila wakaambatana na muongo.
Watanzania wengi wanafki na wabinafsi..
Ukisimamia haki unabaki mwenyewe[emoji2955]
Upinzani nayo hawawii mamoja. Sasa what is what🫵[emoji2533]
 
Tarehe 20 ambayo YOGA amepanga kudrop simulizi,

Tarehe hiyo hiyo ODII amepanga kwenda naii jumba kubwa Kwa demonstration,

Je ni coincidence?
 
Back
Top Bottom