Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yoga thank you for this my love.Sorry for. My English[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mchezo unataka kujirudia kuna Yani atoke mtu aingie mtu kimasihara death ndio I play part kuna mtu kasogezwa kwenye Jumba bovu kimasihara na badse atafika pale Kwa position hatar Ile,wazungu wanasema ukii do good, good will follow vice Versa is true ogopa kuhusikankwenye kuondoka uhai wa mtu mwisho wa siku lazima uondoke.... Lets wait2025 huyu mpemba aushike tena usukani, kule Tumia akili anakwambia mwaka huu (2023) lazima apatikane dereva mpya atakaye endesha miaka 12.
Mambo ni matamu sana.
Hiyo ndio inatia Raha yakeSorry for. My English[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo ni mbinu za kimedani ya vita ili washindwe kudukua info zinazopenya!!Hv wadau kwann wale chawa wa BT pale mjengon wakituma taarifa za kila siku huyo anayepokea naye anatuma nje ya nchi au kwa nchi jirani na huko nje hizo taarifa znapokelewa na nan au huko zinakoenda kuna muunganiko gani na BT?Au BT naye anapigwa changa la macho
Magamba matatu alishasanua MAPEMA Sana!Kumbe Mr freedom anakaribia kula shavu la uPM ndo maana kawa mpole baada ya kuhangaishwa na jamaa
uPM wa Nchi gan hiyo?Kumbe Mr freedom anakaribia kula shavu la uPM ndo maana kawa mpole baada ya kuhangaishwa na jamaa
Soma riwaya vizuri ....kuna sehemu kaandika akaamua kujoin company na other company from neighbours ambao walimuweka Mr lotu mjengoni baada ya kumshinda mzeeHv wadau kwann wale chawa wa BT pale mjengon wakituma taarifa za kila siku huyo anayepokea naye anatuma nje ya nchi au kwa nchi jirani na huko nje hizo taarifa znapokelewa na nan au huko zinakoenda kuna muunganiko gani na BT?Au BT naye anapigwa changa la macho
Hakuna Code iliyonisumbua, kwenye hii stori ya kutunga.
(Zab:16:3.) Says: WATAKATIFU waliopo duniani ndio Walio Bora, hao ndio niliopendezwa nao.Hakuna mtakatifu hapa dunia kwa sasa lakini kuna watu wanajitahidi kuishi maisha ya haki
TzuPM wa Nchi gan hiyo?
Nasema tena hakuna mtakatifu katika hii dunia ya sasa labda km unajiita wewe ni mtakatifu(Zab:16:3.) Says: WATAKATIFU waliopo duniani ndio Walio Bora, hao ndio niliopendezwa nao.
(Leviticus 20:7). Jitakaseni basi, iweni WATAKATIFU, Kwa maana Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
(1Peter 1:15-16). Bali kama yeye aliyewaita alivyo MTAKATIFU, ninyi nanyi iweni WATAKATIFU, Kwa mwenendo wenu wote.
16:Maana imeandikwa mtakuwa WATAKATIFU maana Mimi ni MTAKATIFU.
Baada ya kumkiri YESU kuwa Ni BWANA na mwokozi, anakupa ROHO MTAKATIFU anayefanya KAZI ndani Yako kukuonyesha dhambi uzitubie Kila uangukapo, pia Roho huwaombea watakatifu.
Utakatifu ni ktk maisha haya hapa duniani, Ukifa hakuna kitachobadilika, Ukifa ktk dhambi ni Kuzimu unaenda, Ukifa ktk utakatifu unaenda Mbinguni.
Shetani ni MWONGO na BABA wa uongo, anakudanganya Ili udhani kuwa Haiwezekani kuishi maisha ya Utakatifu Ukiwa Duniani.
Kuna dini moja iliyoanzishwa na shetani mwenyewe yenye wafuasi wengi kuliko dini yoyote, inawawadanganya watu kuwa wafu wanaombewa wakiwa pulgatory. Ni uongo.
Tokeni kwenye dini hiyo, inawapeleka kuzimu Kwa maelfu Kila siku.
Baada ya KIFO ni MAUTI, hamna matengenezo mtu akishakufa.
Amen.
Mimi ni MTAKATIFU na tupo wengi Duniani.Nasema tena hakuna mtakatifu katika hii dunia ya sasa labda km unajiita wewe ni mtakatifu
Magamba matatu alishasanua MAPEMA Sana!
Freedom ni mtumishi wa idara alipewa kazi ya kuhodhi mawazo ya kizazi kipya cha vijana watakaosema Kijani hakijafanya lolote kwa KAMPUNI!Sasa muda wake UMEFIKA wa kuaga anaaga KWA kupigania Kitabu na nembo yake itakufa Baada ya kitabu kipya kupatikana!!
Kuna vijana wa freedom anawapaisha kwenda kusomea uongozi huko majuu inawezekana wanaandaliwa katika ulimwengu ujao wa kampuni NDANI ya Kitabu kipya!!
My brother in Christ,unaongea na Mungu Mkuu kwa sauti na wazi wazi? Real?!Mimi ni MTAKATIFU na tupo wengi Duniani.
Tumevikwa VAZI lililochovywa ktk DAMU ya mwanakondoo.
Bustani ya EDEN imerudi mahala pake, tunaongea na Mungu ana Kwa ana, tunaisikia sauti yake na kufuata maagizo yake.
Asiyemtakatifu, Yu UCHI mbele za Mungu, hivyo hawezi kumpendeza Mungu.
Karibu ktk maisha ya Utakatifu duniani.
Amen.
Ndo hapoNchi inachezewa halafu cha ajabu kuna mipumbavu inashangilia
Kama yuko sawa basi Ntibazokiza atakuwa Fidel WA cuba for 7 years[emoji849][emoji849]. Let's wait and see maana katiba ya Cuba ndio inavyosema hivyo2025 huyu mpemba aushike tena usukani, kule Tumia akili anakwambia mwaka huu (2023) lazima apatikane dereva mpya atakaye endesha miaka 12.
Mambo ni matamu sana.