Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Mkuu unaandika ukiwa nchini tz au nje ya nchi? Au unatumia hisia za kisiasa au uhalisia wa matendo?Mfano kipi kiliwezekana? Mbona alikua anakopa kwa mabeberu pia.
Hapa hatuongelei affordability tunaongelea capacity. Huyo anadai mabwawa yanahujumiwa watu wauze majenereta. Ndio nikamuuliza kwanini wahujumu mabwawa yanayozalisha only 30% ya umeme wa Tanzania alafu wasihujimu Bomba la gesi linalozalisha zaidi ya 60% ya umeme?
Ngonjera zipi Mkuu? Mbona NIDA ilimshinda mpaka anaondoka anafariki hatukupata vitambulisho. Mbona suala la wamachinga lilimshinda same to Bandari. Bado sijaongelea korosho Hadi akaogopa kufanya kampeni kabisa huko kusini.
Nadhani anakuzwa sana na media ila failures ni nyingi mnoo