Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mimi hao wote hamna afadhali Kwa kweli watakuwa tu ka lowasa na membe?
Hivi mbona nape yeye haonyeshi tamaa za uRais au kasharidhika na maisha maana kutwa kuchambana na wanazengo mtandaoni[emoji2][emoji2][emoji2]
Yeye anataka pesa ya bando lako tu na basi
 
Kwahiyo COVID-19 iliishia kwa Magu

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Inaweza kuwa ya kupandikizwa kupitia watu wa karibu ila ndio iliyommaliza sio sumu. Alikua na shida ya moyo miaka zaidi ya 10 so COVID ilisukuma tu. Ulitaka kuamini hakupewa sumu angalia kampeni za uchaguzi alivyokua dhaifu anafanya kampeni siku 2 anapoteza siku 3..... hakua sawa kiafya.

Ukitaka ukweli nenda pale taasisi ya moyo JK utapata details zote kitaalamu achana na propaganda za mitandaoni.
 
Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...
Pole sana Sukuma gang, ni vizuri ku move on na kukubali ameshafariki. Hii tabia ya denial kuwa kauwawa ni kujiongezea stress tu. The earlier you accept it the better.

Nimekutajia mpka jina la dokta wake si ukafanye enquiry ila uko busy kung'ang'ania kauwawa. Hata kipindi JPM haonekani wewe ulikua unabisha kuwa haumwi Leo kafariki ndio unajifanya unaelewa Nini kilimpata kabla ya kifo? Are you insane?

JF Haina great thinkers anymore bunch of delusional lunatics
 
Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...
Yaani madogo wengine wamekuja mwishooni kabisa wana Wenge alafu hawajui kitu....hata ukiangalia tu namna wanavyoandika unajua kabisa huyu hajui kitu...
 
Inaweza kuwa ya kupandikizwa kupitia watu wa karibu ila ndio iliyommaliza sio sumu. Alikua na shida ya moyo miaka zaidi ya 10 so COVID ilisukuma tu. Ulitaka kuamini hakupewa sumu angalia kampeni za uchaguzi alivyokua dhaifu anafanya kampeni siku 2 anapoteza siku 3..... hakua sawa kiafya.

Ukitaka ukweli nenda pale taasisi ya moyo JK utapata details zote kitaalamu achana na propaganda za mitandaoni.
Kwa hiyo wewe ulienda pale taasisi ya moyo JK wakakupa info zote??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Kuna mazingira ya uwezekano wa kupandikizwa COVID-19 kupitia watu wake wa karibu kwanini upande wa sumu uwezekano huo usiwepo?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ulienda pale taasisi ya moyo JK wakakupa info zote??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hii ndio shida ya JF Kila mtu mjuaji. Kwani huwezi kuwa na rafiki, classmate, au ndugu JKCI akakupa info ya their side of the story. Nimekueleza hata cardio wa JPM anaitwa PK ni HOD pale Sasa kama JPM kauwawa kwa sumu huyo dokta wangemuacha hai? wakati angejua Siri yote ya chanzo Cha kifo??. Haya mambo Wala sio Siri yapo kwenye public domain.
 
Kama Kuna mazingira ya uwezekano wa kupandikizwa COVID-19 kupitia watu wake wa karibu kwanini upande wa sumu uwezekano huo usiwepo?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Sababu COVID 19 inampata Kila mtu so hakuna atakayehisi Kuna hujuma kuliko sumu ingekua detected kwenye blood sample zake au changes za arrythmic zake. Rais anafanya check ups almost Kila siku so changes zozote zingejulikana mapema na kama ni sumu wangeiwahi. Ila COVID ni COVID tu whether imetumwa au ni original itapiga tu na sababu ana shida ya moyo na Hana chanjo ikasukuma mlevi tu.
 
Hakaribii hata robo. And awe makini sana. Manaa mzee akianguka kama leo sijui. Yewomii[emoji23][emoji23] magenge pinzani yote yatateam up. Nimesubiria nione akifa kama yoga alivyoireport lkn wapi. Huu mkojo alioukojoa babake udumu milele. Aniuzie hata mbegu waache kutusimanga kaskazini[emoji23]

Naskia huyu wa sasa hivi ni copy ama clone Mwenyewe alishavuta kitambo tu
 
Na hii ndio shida ya JF Kila mtu mjuaji. Kwani huwezi kuwa na rafiki, classmate, au ndugu JKCI akakupa info ya their side of the story. Nimekueleza hata cardio wa JPM anaitwa PK ni HOD pale Sasa kama JPM kauwawa kwa sumu huyo dokta wangemuacha hai? wakati angejua Siri yote ya chanzo Cha kifo??. Haya mambo Wala sio Siri yapo kwenye public domain.
Nyie ndio wale ukibishana na mtu unaanza kumtishia ..."Hujui nimesoma na waziri wa mambo ya ndani?? " Au "haujui RPC kamuoa dada yangu?"
 
Back
Top Bottom