Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nikiwa mkubwa natamani kuwa kama BT,jamaa ni kazi sana kugundua kama amekasirika au huzuni😎😎,nilimuona wakati anafika msibani Kwa Membe!wale ambao jicho lao la Tatu limefunguka ndiyo humuelewa huyu Mzee!
Huu mwaka ni mrefu sana,natamani uishe mapema!
Kifo Cha Dodo kimetokea purposely,hii nchi haiwezi kutawaliwa na Mwanamke.
 
Hafu nilisoma mahali kuwa dodo alitumiwa mrembo anaye muamini wa long time, na wakati tukio linatokea hakuwa nyumbani maana alikuwa analalaga different places, Sasa huyo beautiful onyinye ndio nadhani ndio alikuwa na hyo kitu chakumfanya apate changamoto ya kupumua na kuzidiwa sana ndio kuita Uber kumpeleka hyo hospital ka msamaria mwema, Sasa sijui ni kweli au umbeya tu ka umbeya mwingine
Niache
 
Nikiwa mkubwa natamani kuwa kama BT,jamaa ni kazi sana kugundua kama amekasirika au huzuni[emoji41][emoji41],nilimuona wakati anafika msibani Kwa Membe!wale ambao jicho lao la Tatu limefunguka ndiyo humuelewa huyu Mzee!
Huu mwaka ni mrefu sana,natamani uishe mapema!
Kifo Cha Membe kimetokea purposely,hii nchi haiwezi kutawaliwa na Mwanamke.
Kwann unataja majina ya watu mkuu? Why? Dont do that
Futa na mimi nifute. Moderate it kama vipi..

Bt ana hasira balaa.
 
Usiniponze wewe[emoji28]

Alikua wapi?

Just know embe dodo amefitiniwa. Plan angekuja kumiliki hiki kiwanja kwa upinzani. Kwahiyo ngogwe ni kivuli tu cha mbogamboga zetu. Sasa wameona kwann awe threat.. wakamzunguka. Huyu ni kwaajili ya kusafisha safisha. Mwamba alikua vzr. Kwahiyo wakafanya yao hilo kundi la watu kadhaaa... na sisi tunajiandaa kuwasindikiza wamfate dodo.

Dodo lived with phylosophy.
Dodo was a smart kid.
Kwanza kunyakuliwa na taasisi kama kanisa lilipata pigo, alikua awe padre mzuri sana[emoji28]
Waheshimu sana waseminary...
Wana kitu cha ziada.
Hapa its not even about BT. Ilikua kwaajili ya kusafisha.

Ukiachana na haya yote. Uligundua nini risala ya bt kwenye mazishi? Uliisoma body language yake na alivyoswitch chaap? Akatulia kimyaa baada ya hapo?
Kuna hekaheka sasa hivi huko KK SECURITY saa hizi hapalaliki.

Juu ya sasha sitaongelea kabisaa. Najipenda[emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088]
Who is Sasha,,,?¿
 
Na paka anajua kabisa uhasama wa late CEO na BT. Sema mi binafsi nampenda BT ana akili na anajua kucheza na akili za watu ila alioungana nao ni watoto kiakili wote mpaka dodo, yaani yeye waliwezana na mamvi tu enzi akiwa mkuu wa muhimili wa kusimamia serikali mjengoni. Ila hawa wengine wame mlet down sana kwa sababu ni waropokaji karibia wote, siyo dodo pamoja na ubobezi wake, current CEO pamoja na kuhusika kushirikiana na gogokuminanne kuvujisha siri za serikali ila bado siyo msiri kama late CEO tu. Nadhani BT anatakiwa atengeneze timu nyingine ya wakimya kimya kama mamvi alivyokuwa yaani kariba ya watu wakimya.
Hawapo watu wakimyaa kwa sasa, wotee ni waropokajiii tyuuh. By the way BT aondokee mazimaaa atupisheee bhanaaa khaaaa.
 
Ugonvi wa BT na PAKA inakuaje usiishe? Paka au BT wanazuiana vipi kwenye maslah yao? PAKA mkuu wa kaya na BT ni mstaafu, PAKA alizinguana na BT wakati ule wote wakiwa ma-CEO.
Hata wakiwa na bifu bado PAKA hana uwezo wakumdhuru BT coz baada ya BT kustafu na late CEO akiwa mshiakaji wa PAKA Kama alikuwa na uwezo huo alishindwa vipi kummaliza au kumlinda nwendazake?
Wachaaa tusubiri kuona yajayoo, bifu La BT na paka haliishi kamwee.
 
Dude dude ni dude, hakuna anayelijua wala kulimiliki. Dodo kwa hapo alijidahau. Lakini haiwezi kuwa sababu ya dodo kusafiri. Mi nachodhani ni kuwa tuhuma za zilikuwa kweli na dodo alionesha dharau kwa sababu waliovujisha audio akinmanga late ceo ndiyo hao hao walitoa info za uhaini wa dodo kwa mamlaka, badala ya yeye dodo kujua huu mchezo umeisha kwa sababu mhusika hayupo akakomaa. Ila hiyo sababu haiwezekani kabisa
Vitakuja kuibuka hadharani mda c mrefu maana kwenye hiyo mikakati nadhani lazima kuna mmoja ata leak tu
 
Back
Top Bottom