Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Waliokula kichwa cha dodo ki nadharia wanaweza kuwa kama ifuatavyo:
1. Current CEO (sababu ni ile dhana dodo angekuja kuwa mgombea na hatimaye awe makamu wa rais na in 2027 year current CEO angeuawa na dodo kuwa rais na hapo baadaye angemuachia kijana wa BT)
2. BT kwa sababu ya kuropoka au kukosa mvuto ili BT aweke mtu mwingine (dhana hii ni dhaifu mno) au pia inawezekana BT kamuwahi labda dodo alitaka awe ndiyo bosi wa kambi (bado dhana dhaifu)
3. Deep shiteti (inawezekana baada ya tafuta tafuta yao nani alimuua late CEO na wakaja na conclusion master mind wa mchezo wote ni dodo hivyo ikaamriwa auawe na then wengine waliobaki nao wauawe wote ila waanze na bosi wa genge la mauaji ya late CEO). Hii dhana ina nguvu namba mbili ikifuatiwa na ile dhana na current CEO.
4. Natural death (chanjo ya korona maana ilisemekana walio chanja watakufa within two to five years). Inawezekana pia ikawa siyo chanjo. Hii ni dhana ya kwanza ikifuatiwa na deep shiteti na ya tatu ni current CEO na ya mwisho ni BT.

Yote na yote hakuna mwenye uhakika ni theory gani ya ukweli kwa sababu mazingira ya uadui waliyojitengenezea kambi ya BT ni magumu sana na ni dhahiri vifo kwenye kambi yao vitaendelea kwa sababu deep shiteti ya bongo hata BT mwenyewe haijui kabisa na hakuna anayeijua kwa 100%.
ChawaWaMama Na nadharia ya Paka PK kula kichwa cha Maembe vipi hii nayo?
 
dodo alikuwa mwiba kwa paka unajua dodo inaonekana alikwa na connection na majeshi yote africa na duniani. Inawezekana ila ni nadharia ndogo sana kwa sababu drc wana pambana kivyao @ChawaWaMama sawa shukurani, ila tutarajie tena kuliwa vichwa watu au imekoma?
 
Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...

I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback

Dah..
 
Aiseh Bas sawa!

Dodo hawezi kuwa Mzee kama alivaondikwa na yoga!!

Mzee ni mzee KWELI huyo wa newala ana miaka mingapi!!?

Waziri wa kampuni asiekuwa na wizara maalum!!?dodo hakuwahi kushika cheo hicho!!

Mi HUWA naamini Tumia akili ni mzee wa newala!!

Dodo itakua labda ni deep state au the originals ndio imesepa nae coz ni mpango kazi wa kusafisha wanaojiita wenye nembo ya kijani ya kampuni!lazima dodo afuatwe na kwamba senior na ndovu halafu Bt baadae pamoja na kp baadae kidogo!!!
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI "Kp baadaye kidogo "
Huyu Kp ni nani ning'ate sikio Swahiba
 
Well well well. Simpi dhamana. Na unayosema yawezekana kbs ni ukweli. But, how was he supposed to die? Where was he supposed to die?

Japo kauli za bt jana msibani zilionyesha kbs kuna sintofahamu. Anaamini siyi natural death. Basi kama ndivyo tusubiri comeback yake
Kanuni ya mafia, ukiopewa kazi ya kuua, ukishaua lazima uuawe. Huenda dodo alitumika na sasa anatakiwa aondoke.

Anaenda korea ili kupisha kazi ifanyike halafu unajifanya niliongea nae jana alikuwa mzima.
 
Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...

I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback
Kumbe mbona deep shiteti ilintema dodo,,,late CEO amefanya mengi mazuri sema akina bt walimnyima fursa za uchumi,,Ila Kama bt angempa connection za uchumi naamini late angekuA best CEO of all the time

Kampun yetu bado Ni changa Sana na Ina miaka 60's tu ya maisha yake,,,so amsha amsha za late CEO zilikua muhimu Sana ili kutuvusha salama
 
Mapenzi upofu. Tamko la mkiandamana mtapigwa tu ilikuwa utawala gani?

Ni wakati gani magwepande ilipata umaarufu?

Watu kwenye viloba wakufahamika ni wa wapi? Were they Tanzanians?

Tuwe wakweli, bt nchi mali yake. Alifanya na anafanya atakavyo na sasa anatamka hadharani kuwa rais ajaye ni Samia, labda mambo yakiharibika sana kati ya sasa na wakati huo. Mambo gani?
Nakuunga mkono comrade
 
Back
Top Bottom