Lakini kwanini huyu paka they keep letting him apafanye hapa kama shamba la bibi? Why? Kwann?
Dodo angetoboa mungeiona shoo yake.
Sasa game limeanza rasmi. Huyu mseminari mtalipia haswaa...
I must be honest, nimekua na mapenzi sana na nchi yangu, nilikua nikimchukia sana bt. Sikuelewa vyema mfumo ulivyokua ukienda.
Ila nimejifunza. Katika zama za uongozi wa bt tumekula sana maisha. Tumekula mnoo. Nani abishe? Mulioingia leba hamkua mukibeba chochote. Everything for free.
Maisha yalikua matamu na free mtaani. Watu wanasema sijui zama za jiwe kulikua hakuna cha unanijua mm? It was a toral lie. Zama za jiwe hatukua na amani kbs. Matishio yalikua mengi sana. Mtu uko kwenye daladala unachangia mada za siasa watu wanashuka na wewe. Watu kwenye viroba etc. Why? Zama za bt hayakuwepo haya mambo. Jiwe alikua anawatumia wajinga na maskini kuwafanya waone kama wanasaidiwa. Yaan kama vile siyo kodi zao vile. Machukia sana hili jambo. Ndo maana wanazidi haribu mfumo wa elimu kuzalisha vilaza daily. Sasha naye anafanya anachojisikia tu. Why why why sasha? Dodo was the perfect guy. Cant wait for the comeback