mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Style, wahusika, hesabu na operesheni iliyotumika.Anahusikaje sasa!!?maana alishaenda Kwenye usingizi wa milele!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Style, wahusika, hesabu na operesheni iliyotumika.Anahusikaje sasa!!?maana alishaenda Kwenye usingizi wa milele!!
Nini kimemtokea?Rest in peace Yoga
Hivi kiuhalisia Yoga ni nani hasa?watu mpo desperate sana na stori ya yoga wakati alisema atarudi mwisho wa mwaka.
Drama za Bandari au uteuzi wa Kiongozi wa Tizi na Be take?The ground is hot, the heat is on!!! Get ready for drama, mwenye macho aambiwi tazama !
Anahusikaje sasa!!?maana alishaenda Kwenye usingizi wa milele!!
Ni insider katika idara nyeti ndani ya serikali.Hivi kiuhalisia Yoga ni nani hasa?
Chenga uliyonipiga ni kama Jizazi wa Arsenal na beki wa Manchester utdNi insider katika idara nyeti ndani ya serikali.
Kazi kwao leo hapa kurasini kuna wawili wamefika kumekuchaUtasababisha trafiki waanze kukagua magari yote yanayotoka hapo.
Mda utaongea huyo sijapata hata kupata fununuIli kukamilisha uzimaji wa wale walionzisha story ya yoga!!?
MAANA ulituambia mmoja tayari ambae ni rondo anaefuata ni nani!!?
Unaweza ukatumia code!
Kurasini tafakari ujue wakina nani hua wako hapoAhaaaa ahaaaaa, vikao na DP world?
Siyo kwamba ni kwa ajili ya mkutano na maafisa wa hapo wanaohusika na mambo ya ndani mkuu?Kurasini tafakari ujue wakina nani hua wako hapo
Kukosea spelling hakuondoi tukio kutokeaafter reading the thread, i have noticed that there is nothing new from the author. almost everything he/she talks about is nothing far from rumours and speculations associating with jpm death.
alichofanya ni kuokoteza tu vistory vya vijiweni na kuvitengenezea uzi.
mleta mada kilaza sana, uzi wake una makosa kibao ya kisarufi, imagine hata neno 'serious' anashindwa kuliandika kwa usahihi.
Alisema hadi dec, bado miezi 3.
Wa gangilonga.
TECSiyo kwamba ni kwa ajili ya mkutano na maafisa wa hapo wanaohusika na mambo ya ndani mkuu?
Aisee. Nimekuelewa mkuu.
Ulipotea sana bossSiyo kwamba ni kwa ajili ya mkutano na maafisa wa hapo wanaohusika na mambo ya ndani mkuu?