Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

mipaka ya Edeni ukisoma ni Iran/Iraq (somewhere eneo hilo), kwa sababu ile mito minne iko huko!
kumbuka baadhi ya mito ilifukiwa na gharika, so probability kubwa ni huko maana afrika hakuna eneo lenye uwezekano wa kuwa na mito 4 yenye chanzo kutoka eneo moja!
Kumbuka mto mmoja imepita kwenye nchi ya Ethiopia aka kush. Haiwezekani eti Ikakutane na mto uko Iraq huko... Plus ukisoma jubilee kitabu walichokitoa kwenye Bible Ile Kipo kwneye Bible ya Ethiopia ambacho ni oldest inasema source ya huo mtu unaokatika Ethiopia ndio ilipo Eden..... Wazungu wanabadili maeneno na kuyapa majina Yao wapendavyo wao kuondoa maana ya asili ilipo kama walivyotuambia majina yetu yamelaaniwa so tubebe ya Kwao. Kama ambayo wamebadili Sasa mwanzo 13:1.
 
Edeni ni Tanzania. Chanzo cha Mto kush ni ziwa Victoria. Kumbuka Dunia ilikua bara moja kwa wasomi wa jiografia wanajua kitu kinaitwa Pangea, ilianzia Afrika Mashariki ikiwapo Tanzania kwenda Misri mpaka maeneo ya India huko. Ila mengi tumebadilishiwa lkn kumsaidia mwambie akasome kumbukumbu la torati 28 Kisha aseme zile laana ziko ktk bara gani? Tumebadishiwa na kisha tukasemwa kwamba mpaka tukijitambua, asante kwa Urusi angalau wanaanza kutufanya tujitambue kwa nguvu kwa sasa[emoji28]

Sent from my iPlay_20P using JamiiForums mobile app
 
Shida walishakaririshwa since watoto na hawapendi kusoma na kufanya research. Angeanza tu na mwanzo 13:1 kabla hata hajafika kwenye kumb 28 ambalo linaeleza kwa kirefu why Hilo Bara liko vurugu tupu.
 
Bibilia haijasema kama chanzo cha moto minne kilikua kimoja, duniani nchi pekee ambayo imezumgukwa na moto minne ni Tanzania peke yake. Mto Ruvuma, Mto Pangani/Wami, Mto Rufiji na Mto Kagera na Malagarasi.
Usije na nadhalia ya kwamba mito ilipotoe kutokana na gharika la Nuhu, wakati ghalika ni kitu cha kufikirika tu, ukisema kipo nambie wanyama walikula nini kwa siku zote walizoa ndani ya safina?

Sent from my iPlay_20P using JamiiForums mobile app
sasa mbona unasema habari za miti minne ambayo ipo kwenye biblia afu wakati huo huo unakataa uwepo wa gharika....hauamini kuwa gharika ipo bila shaka uwezi kuamini uwepo wa MUNGU ukikataa uwepo wa gharika ww ni mpagani....au atheist.
 
Hakuna uthibitisho Wala ushahidi wa uyasemayo. Umesoma tu kwenye masimulizi ya bible ambayo nayo kaandika mtu kama wewe tu
 
Source tafadhali, ndipo nichangie HOJA.
Hiyo hapo
Screenshot_20230828-180322.jpg
 
Ali Idi Siwa, Tanzanian Ambassador to Rwanda presents credentials to H.E President Paul Kagame - Kigali, 1 April 2015

“In respect to the relations between Rwanda and Tanzania, which had fallen into an unfortunate situation, we would like to say that let the bygones be bygones, we are starting a new chapter now,” said Siwa.

Describing past tensions as “unfortunate events”, the new envoy said that the two countries, which share a common border, have always enjoyed warm relations, which he said would continue in the interest of their citizens and the region.
 
Back
Top Bottom