AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Kumbuka mto mmoja imepita kwenye nchi ya Ethiopia aka kush. Haiwezekani eti Ikakutane na mto uko Iraq huko... Plus ukisoma jubilee kitabu walichokitoa kwenye Bible Ile Kipo kwneye Bible ya Ethiopia ambacho ni oldest inasema source ya huo mtu unaokatika Ethiopia ndio ilipo Eden..... Wazungu wanabadili maeneno na kuyapa majina Yao wapendavyo wao kuondoa maana ya asili ilipo kama walivyotuambia majina yetu yamelaaniwa so tubebe ya Kwao. Kama ambayo wamebadili Sasa mwanzo 13:1.mipaka ya Edeni ukisoma ni Iran/Iraq (somewhere eneo hilo), kwa sababu ile mito minne iko huko!
kumbuka baadhi ya mito ilifukiwa na gharika, so probability kubwa ni huko maana afrika hakuna eneo lenye uwezekano wa kuwa na mito 4 yenye chanzo kutoka eneo moja!