Ana mizizi imetapakaa kote huko ndani na nje!
Pia TumainiEl ametoa thread isemayo:
TETESI: Jaribio la mwaka Dp world ni Kali zaidi kuliko Picha IPO uwanjani.
Ndani anasema dude Hilo nalo ni mtego Ili kuja kubadili mfumo wa uongozi wa chama chakavu,
Tujiandae Kwa yajayo, maana sie waonaji tunaoneshwa mabadiliko hayo hayatakuja bila nyasi kutumia yapambanapo majabali Yale.
Pitia pia Utabiri wa Simba Junior kuondolewa utawala na Simba 3 waliotokea kusikojulikana.
Mambo yamechemka.
Ila kiukweli anayekadharau haka ka familia ketu, anakosea sana, tuko vizuri kimipango!!