Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Mmmmmmh siamini unabii wake kwa sababu haendani kuwa kama Nabii, Dar es salaam imefanya maovu gani makubwa hadi ipatwe na adhabu hiyo?Fuatilia channel yake!!
Pia ni vizuri wewe mwenyewe, piga goti muulize Mungu atathibitisha,
Hata Leo Mungu anasema na watu wake, Mimi pia Kuna mengi nimeoneshwa yanashabiiana na Nabii zake.
Amen
Kule Marekani kuna majimbo km sikosei Sanfrasisco watu hutembea uchi wa mnyama beach watu husex live beach, Sweden majuzi tu walikuwa na mashindano ya kufanya ngono, Dar Es salaam uovu km huo haufikii maeneo hayo, mbona huko hakunatolewa adhabu kama hii?