Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Kazi kwao leo hapa kurasini kuna wawili wamefika kumekucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwao leo hapa kurasini kuna wawili wamefika kumekucha
Nipo mkuu, sema kuna jambo nilikuwa ninalitafakari sana na bado sijalipatia majibu.Ulipotea sana boss
Unadhani huu utawala uliolewa mvinyo wa rasilimali za taifa hili unaweza kutubu.Nipo mkuu, sema kuna jambo nilikuwa ninalitafakari sana na bado sijalipatia majibu.
Jambo lenyewe ni hili:
Siku moja nilisikia sauti yenye mamlaka ndani yangu ikisema;7Seven,tazama nitatenda jambo na nchi itatikisika."
Hadi leo sijui ni jambo gani. Ilikuwa May mwaka huu.Bado ninaendelea kutafakari, lakini nikiangalia nabii zinazotoka yamkini lipo jambo linaweza kutukia kama watu hawatatubu.
Je, hakuna waonaji ambao wako huko?Unadhani huu utawala uliolewa mvinyo wa rasilimali za taifa hili unaweza kutubu.
Hawa kwa sasa wanajiona kama ndiyo the supreme power hawajui kama kuna mkuu wa wakuu wote.
Mi nafikiri ulionalo acha lije tu litufandishe kuheshimu wananchi na rasilimali zao.
Turubai au?Mzee wa mvi!!
Ulipotea sana boss
Nipo mkuu, sema kuna jambo nilikuwa ninalitafakari sana na bado sijalipatia majibu.
Jambo lenyewe ni hili:
Siku moja nilisikia sauti yenye mamlaka ndani yangu ikisema;7Seven,tazama nitatenda jambo na nchi itatikisika."
Hadi leo sijui ni jambo gani. Ilikuwa May mwaka huu.Bado ninaendelea kutafakari, lakini nikiangalia nabii zinazotoka yamkini lipo jambo linaweza kutukia kama watu hawatatubu.
Ni kweli kurudi kwenye mstari yatupasa.Je wa juu wako tayari kurudi kwenye mstari au wataendelea kukaza shingo mpaka zivunjike?Kawaida.
Ukiwa kwenye wrong direction utahitaji kurudi kwenye right one kama hautarudi mwenyewe basi utarudishwa.
Challanges nyingi zinazotutokea ukizitafakari kwa kina utakuta ni alert unapewa lkn kutokana na kuzama sana na ya dunia huwa hatushtuki mapema sana.
Huenda kwenye yakatukuta ya kutukuata ikiwa ni kwa ajili ya kusafisha na watu kuneemeka kwa haki na usawa better. Hatuna chaguo. Toba inayopaswa kufanyika ni kupooza hasira ya asili hiyo ikawe na rehema.
Ni kweli kurudi kwenye mstari yatupasa.Je wa juu wako tayari kurudi kwenye mstari au wataendelea kukaza shingo mpaka zivunjike?
Toba ya kweli ni ile inayokufanya uache kufanya kile ulichokitubia. Huwezi kusema naomba uniombee wakati huo huo unaendelea kufanya yale yanayowaudhi waliokuombea toba na unayemuomba msamaha.
Rehema ya upande mmoja haitaisikilizwa ikiwa hakuna haki itatendeka, bali mwenye haki ya kusikilizwa ni yule/wale wanaoonewa.
Popote palipo na watu uhitaji kuongozwa, ni haki yao,na ni haki kwa wenye kuongoza kwa maono yao,uelewa na vipawa vyao ;lakini waongozwaji wana haki ya kusema wanahitaji kuongozwa namna gani.Kwani siyo haki yao kuhoji uhalali wa rasimali zao?
Yeye hapokei rushwa anaamua kwa HAKI.
Mtu aliyezoea raha, gafla umkatishe aishi kimaskini. Ni ngumu sana kukubali hili hata kama ingekua ni wewe. Sema wapunguze kidogo nasisi hali ya mtu tuinjoy hiyo keki pamoja...Hawapo tayari kwa yale yanayoendelea kufanywa nao. Hata dalili haipo.
Wamejaa hofu ya kupoteza mali, vyeo, na hadhi kushuka. Akili, Moyo na nguvu zao zimewekezwa kwenye shekeli na wamezizoea kiasi kwamba ikipasa kutoa ushirikiano wa mwili na roho wa mtu si jambo la kuhurumia na kujiuliza juu ya mtu huyo.
Yetu macho kwani nguvu kubwa kwetu iliyobaki kwa tuliyeshika makali ni dua/maombi/sala/matambiko na kusii asili juu ya haki baasi.
Mtu aliyezoea raha, gafla umkatishe aishi kimaskini. Ni ngumu sana kukubali hili hata kama ingekua ni wewe. Sema wapunguze kidogo nasisi hali ya mtu tuinjoy hiyo keki pamoja...
Vipi!?Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nifungulie code ya Simba 3 mbugani, Simba aliye potea ghafla.Vipi!?
Nifungulie code ya Simba 3 mbugani, Simba aliye potea ghafla.
Angalau nime elewa🙏Mr smile,Mr mango and the lady Boss!!?
Mr Mango lost already!!?
Lad boss and Mr smile still!?
But recall "JAL 1 is done, 2 and 3 are next!
Huyo JAL 1 is done sio Mr mango!?
2 and 3 are next sio Mr smile and lady Boss!!?
Najaribu !!
Imekwisha ndugu!Kikosi kazi Cha injiri kokote mliko na masipika yenu iwe sokoni ama stend za daladala tunaitaji walaka wenu kuhusu bandari na ngorongoro nyie huwa mnanena kwa neno