Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Attachments

  • Screenshot_2023-09-06-08-46-19-274_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2023-09-06-08-46-19-274_com.facebook.katana.jpg
    514.6 KB · Views: 39
Ulipotea sana boss
Nipo mkuu, sema kuna jambo nilikuwa ninalitafakari sana na bado sijalipatia majibu.

Jambo lenyewe ni hili:

Siku moja nilisikia sauti yenye mamlaka ndani yangu ikisema;7Seven,tazama nitatenda jambo na nchi itatikisika."

Hadi leo sijui ni jambo gani. Ilikuwa May mwaka huu.Bado ninaendelea kutafakari, lakini nikiangalia nabii zinazotoka yamkini lipo jambo linaweza kutukia kama watu hawatatubu.
 
Unadhani huu utawala uliolewa mvinyo wa rasilimali za taifa hili unaweza kutubu.

Hawa kwa sasa wanajiona kama ndiyo the supreme power hawajui kama kuna mkuu wa wakuu wote.

Mi nafikiri ulionalo acha lije tu litufandishe kuheshimu wananchi na rasilimali zao.
 
Je, hakuna waonaji ambao wako huko?

Au wamepuuzwa? Maana haya mambo huenenda kwa hekima sana,yule anayeonekana hana hadhi kwa malkia kumbe hapendwa sana na Mfalme wa Wafalme.

Huenda wote waketio mezani pa malkia ni vipofu wa mvinyo wa madaraka hakuna hata mmoja mwenye hekima wote wamepungukiwa na hekima.

Wanakunywa na kula malangoni pa Mfalme lakini wana wa nchi waishio hemani ndani mwao hamna kitu,vyungu vimejaa chakula cha manung'uniko, kukata tamaa, machozi na mateso ya kuibiwa rasilimali zao.

Sasa kitu nilichokiona na ambacho kinaweza kutokea ni kikubwa kwa hawa wenye macho lakini hawaoni, wana mioyo lakini hawana utu, wanawaza lakini hawafikiri.

Busara za wazee zimepuuzwa kwasababu wazee wameonyesha mvi kwa wasomi waongozao nchi.

Ni bora busara za wazee wenye hekima wasio na elimu kuliko wenye busara ya elimu isiyo na hekima.

Pia sauti ikasema; Sasa uovu wa Waamori umetimia nitakwenda kuukomesha.

Kheri wenye kusoma na kuelewa. Kazi yetu huwa ni kuabudu amani kwa misaafu na siyo kutumia upanga.
 
Nipo mkuu, sema kuna jambo nilikuwa ninalitafakari sana na bado sijalipatia majibu.

Jambo lenyewe ni hili:

Siku moja nilisikia sauti yenye mamlaka ndani yangu ikisema;7Seven,tazama nitatenda jambo na nchi itatikisika."

Hadi leo sijui ni jambo gani. Ilikuwa May mwaka huu.Bado ninaendelea kutafakari, lakini nikiangalia nabii zinazotoka yamkini lipo jambo linaweza kutukia kama watu hawatatubu.

Kawaida.

Ukiwa kwenye wrong direction utahitaji kurudi kwenye right one kama hautarudi mwenyewe basi utarudishwa.
Challanges nyingi zinazotutokea ukizitafakari kwa kina utakuta ni alert unapewa lkn kutokana na kuzama sana na ya dunia huwa hatushtuki mapema sana.

Huenda kwenye yakatukuta ya kutukuata ikiwa ni kwa ajili ya kusafisha na watu kuneemeka kwa haki na usawa better. Hatuna chaguo. Toba inayopaswa kufanyika ni kupooza hasira ya asili hiyo ikawe na rehema.
 
Ni kweli kurudi kwenye mstari yatupasa.Je wa juu wako tayari kurudi kwenye mstari au wataendelea kukaza shingo mpaka zivunjike?

Toba ya kweli ni ile inayokufanya uache kufanya kile ulichokitubia. Huwezi kusema naomba uniombee wakati huo huo unaendelea kufanya yale yanayowaudhi waliokuombea toba na unayemuomba msamaha.

Rehema ya upande mmoja haitaisikilizwa ikiwa hakuna haki itatendeka, bali mwenye haki ya kusikilizwa ni yule/wale wanaoonewa.

Popote palipo na watu uhitaji kuongozwa, ni haki yao,na ni haki kwa wenye kuongoza kwa maono yao,uelewa na vipawa vyao ;lakini waongozwaji wana haki ya kusema wanahitaji kuongozwa namna gani.Kwani siyo haki yao kuhoji uhalali wa rasimali zao?

Yeye hapokei rushwa anaamua kwa HAKI.
 
Hawapo tayari kwa yale yanayoendelea kufanywa nao. Hata dalili haipo.

Wamejaa hofu ya kupoteza mali, vyeo, na hadhi kushuka. Akili, Moyo na nguvu zao zimewekezwa kwenye shekeli na wamezizoea kiasi kwamba ikipasa kutoa ushirikiano wa mwili na roho wa mtu si jambo la kuhurumia na kujiuliza juu ya mtu huyo.

Yetu macho kwani nguvu kubwa kwetu iliyobaki kwa tuliyeshika makali ni dua/maombi/sala/matambiko na kusii asili juu ya haki baasi.
 
Mtu aliyezoea raha, gafla umkatishe aishi kimaskini. Ni ngumu sana kukubali hili hata kama ingekua ni wewe. Sema wapunguze kidogo nasisi hali ya mtu tuinjoy hiyo keki pamoja...
 
Mr smile,Mr mango and the lady Boss!!?

Mr Mango lost already!!?

Lad boss and Mr smile still!?

But recall "JAL 1 is done, 2 and 3 are next!

Huyo JAL 1 is done sio Mr mango!?

2 and 3 are next sio Mr smile and lady Boss!!?

Najaribu !!
Nifungulie code ya Simba 3 mbugani, Simba aliye potea ghafla.
 
Back
Top Bottom