Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Acheni kumpa sifa za kichawa hizo, SSH hajawah kuwa TISS bwana hata kama mnajifanya mnajua mambo ya usalama ila msitudanganye sasa. Usalama gani anashndwa kuchakata hata taarifa ndogo ndog tu za mikataba.Samia aliianza kazi katika Idara nyeti enzi za Mwalimu..na post yake ya kwanza ilikuwa ni kuwa Katibu Muhtasi wa Rais wa Zanzibar kipindi hicho Aboud Jumbe Mwinyi..