Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Samia aliianza kazi katika Idara nyeti enzi za Mwalimu..na post yake ya kwanza ilikuwa ni kuwa Katibu Muhtasi wa Rais wa Zanzibar kipindi hicho Aboud Jumbe Mwinyi..
Acheni kumpa sifa za kichawa hizo, SSH hajawah kuwa TISS bwana hata kama mnajifanya mnajua mambo ya usalama ila msitudanganye sasa. Usalama gani anashndwa kuchakata hata taarifa ndogo ndog tu za mikataba.
 
Afisa wa TRA mwny dhamana ya kuhakikisha kodi inakusanywa ipasavyo ndio anamlaghai mfabiashara atoe rushwa ili apate yeye na serikali ikose. Huyu afisa kasomea kabisa elimu ya kodi.
 
Maliza mifano yote ila kuniaminisha kwamba SSH ni TISS siwez kuamini hata Ungekuja na Mifano lukuki
 
Ila inaonyesha ni mkipepeo kwa sababu kuna visa viwili kavifanya inaonekana huenda alikuwa akitumiwa kwenye mission kadhaa nyuma ya pazia,
1. Kwenda na kiti chake kwenye msiba, hata kule Butiama kuingia na kiti chake kwenye nyumba ya ibada,
Inaonyesha umafia mwingi katumika anaujua nje ndani.
Bado sio hoja maana hiyo ni mojawapo ya kazi za walinzi kutoka idara ya usalama wanaomzunguka, na isitoshe kifo cha kiongozi aliyepita kilikuw na maswali mengi sana,

Hiyo tu ilitosha hata wew hapo ungekuw kiongozi lazima ungejihami kwa kila namna popote pale, hiyo hat haiitaji kozi ya kusoma kutoka CIA wala MOSSAD,.... ili kujilinda kwa namna zote zilizo ndan ya uwezo wako.
 
Kumbuka kwenye post za Yoga, anamtambulisha enzi zile alikuwa ni Deep informer
 
Yoga kacheleweshwa na matukio aliyokua anatarajia yatatokea Hayajatokea!!uliona juzi alivopost Ile bendera na machozi wakati huo Kila mmoja alikua anauliza Bamba mbili alipo,akaonekana Sasa ataandika Nini Sasa !?wakati alichokua anasubiri kuandika Bado hakijatokea!!

Kigogo kishapost kuhusu January 2024 kutokea Kwa tukio Fulani labda muda huo ndio yoga atapost!!

Lakini former Branch manager ambae amekua aki make headlines kapoa Sana na haonekani Yuko wapi!!?

Au ile kampeni aliokua anamsafishia mama njia IME be blocked!!?

Mwenye info atupenyezee!!
Yu Wapi yoga Jamani Ametekwa
Maana leo tumeanza Sehemu ya pili ya mwezi wa 12 bado haonekani
 
Yoga kacheleweshwa na matukio aliyokua anatarajia yatatokea Hayajatokea!!uliona juzi alivopost Ile bendera na machozi wakati huo Kila mmoja alikua anauliza Bamba mbili alipo,akaonekana Sasa ataandika Nini Sasa !?wakati alichokua anasubiri kuandika Bado hakijatokea!!

Kigogo kishapost kuhusu January 2024 kutokea Kwa tukio Fulani labda muda huo ndio yoga atapost!!

Lakini former Branch manager ambae amekua aki make headlines kapoa Sana na haonekani Yuko wapi!!?

Au ile kampeni aliokua anamsafishia mama njia IME be blocked!!?

Mwenye info atupenyezee!!
Duh afu inawezekana kabisa aisee...
Na inawezekana tukio la namba mbili lilikuwa limepangwa kabisa mwezi huu litokee
 
Back
Top Bottom