Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rufiji si umeona kilichotokea?Bado unabii haujatimia!
Mbona alishasema mwisho wa kuangamia Dar ni tarehe 20 mwezi mei!!?
Tusubiri tuone!!
mbenge shukurani kwa jibu.Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.
Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia. Mtanzania aliyekuwa na "degree" za juu kidogo ni Mzee wa Lupaso, ila huyu [emoji118] sina uhakika sana naye, ila taarifa za mitandandao ya Kenya zinasema ameshafikia tayari ya kumi.
Kwa mjibu wa nabii wa Unyakuo TV Rufiji hakuitabiria ila ni Dar es Salaam pekee na Sehemu salama alisema ni kuanzia Kibaha.Rufiji si umeona kilichotokea?
Ulipo sema "The Club of Rome" umenikumbusha mbaaali sana, enzi hizo za Gazeti la Tazama, safu ile mwandishi Gideon akiandika maswala ya Freemasons, Gazeti hili sijui lilikufa au bado lipo?Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.
Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia. Mtanzania aliyekuwa na "degree" za juu kidogo ni Mzee wa Lupaso, ila huyu [emoji118] sina uhakika sana naye, ila taarifa za mitandandao ya Kenya zinasema ameshafikia tayari ya kumi.
THE CLUB OF ROME
Mwongo mkubwa wewe.Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
Angalia hii nilimjibu nani na nilim-quote nani ndo uje urudi hapa. Kuna mtualikuwa anasema kaskazini hakuna maendeleo ndio nikamjibu hivyo.Mwongo mkubwa wewe.
Nafuta kauli na commentAngalia hii nilimjibu nani na nilim-quote nani ndo uje urudi hapa. Kuna mtualikuwa anasema kaskazini hakuna maendeleo ndio nikamjibu hivyo.
HongeraMimi huwa na andika mwenyewe. Si copy na kupaste.
Uzi haufutwi bali uhifadhiwa....!! Hasa kikwazo cha where we dare to talk openly kinapo kuwa hatarishi (Nawaza)!Uzi umefutwa. Futa hii post, ili hii comment ifutike kabisa
Hii page no ngapi mkuu ?
SI mwingine kasema may 2024March si ishapita?
[emoji2956]Uko sawa,
Na ndiye ametabiri Mr Tabasamu hatoboi December,
Tusubiri.
2024[emoji119]December ya mwaka upi?
Inaonekana yoga kurudi ni hadi Mwakani 25/12/2025Monday 25/12 /2025 saaa Tano asubuhi our new story will be out, so stay tune shuhuli inaanza
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
The last emperor
Introduction.
Now she knows who is her enemy,
now she knows who are the fake friends , the so called friends and enemies
Now she knows it's either her blood or his blood if she wants to be the emperor
She is outnumbered but she has all the numbers, and numbers don't lie, deep she see her self as a new emperor inspite Kuna ugumu kwenye kulifikia Hilo .......... But atleast she has the faith.
Baada ya kuwa shaken many times with the lord of rings......... She came to understand that sometimes it better to bow the master, act like a servant and learn to be the master as the time goes.
One thing she hate was......... she is the boss yaani publically known that she is the top notch of the company!
So why aambiwe what to do, and what not to do?? Where to go... and where not to go. Who to see and whom not to see??????? Aghhhhhhh..... Ilimkera Sana hiiii.
Tena with some guy (the lord of rings) a retired CEO, whom at first was her idol but now a smiling enemy.
It hurted her Very bad to the point she was fustrated! She had limited number of people to trust, sababu she came to realize that........, 98% of all the top main servant in the company ni paid agents wa the lord of the rings.
Movements zake zoote kwa sasa zinapaswa kufanya kwa uangalifu mkubwa with very high calculations. As she knows that she is being watched! She felt like she is in the dome. No freedom to access her powers. at a certain point she came to say enough is enough. She was done with that kind of life. She wanted to retire, lakini atawaambia nini watu??
The one guy whom she thought angemsaidia..... Was handled quietly and very smoothly! What happened ??
So she still remembered one of her guys back in Dubai aliyempa kazi yakufind a way to win against the lord of rings (previously named as born town) the guy is missing, but his ideas and all of his works still on her mind!
She kept on remembering that guy plan. And that plan was very strictly and directive to her....! kwamba ili kuwin the war against the lord of rings, she need to do the followings
[emoji117]she need to find her own new investors for the company or manipulate lord of rings investors to be on her side
[emoji117]Anatakiwa kusafisha the whole secret service in her company,
[emoji117]she need the support of all deep owners of the company and letter to form new deep owners
[emoji117]she needs to be famous among the customers
[emoji117]and last she needs team late CEO on her side(and this is very important)
And all this should be done without the lord of rings to know! It was Funny sababu the guy has all eyes and ears of the company. He knows everything and monitor everything in the company
Still the deja Vu hits her as last time when she started to implement the same plan, the lord of rings cought her. And boom,.....The plan was dead.
She remember last time the flash aliyopewa na the lord of rings yenye lot of her secrecy, personal secrets that alitoshiwa kuwa itakuwa spreaded public na kudamage her own reputation na mbaya zaidi ita demage company reputation kitu kitakacho pelekea awe forced kujiidhuru wadhfawake wa CEO and after that the plan was kumpoteza kabisa.
So she thought of that and abort the plan very fast ...............
So time goes, and there she accepted to lay low, and wants to win back the general master's trust. She wanted to clear the air, she wanted to be seen as a good servant and to make a statement that , what happened was a mistake and she has learned her lesson!
Behind the scene akaaanza upya................
CHAPTER ONE: EPISODE ONE
................
Hizi mvua na maonyo ya TMA yanayotelewa je, yaweza kuwa na uelekeo wenyewe?Kwa mjibu wa nabii wa Unyakuo TV Rufiji hakuitabiria ila ni Dar es Salaam pekee na Sehemu salama alisema ni kuanzia Kibaha.
Hakuna kitu,Hakuna maafa ya Tanzania.Hizi mvua na maonyo ya TMA yanayotelewa je, yaweza kuwa na uelekeo wenyewe?
Ilikuwa mwaka gani hiyo ilitukia?Baada ya kufikishwa hospital doctor alimfanyia vipimo na akapata majibu ya tatizo ambalo linamsumbua na lilikuwa linatatulika coz walikuwa wamewahi lakini doctor alipindisha majibu na kutoa tatizo lingine ambalo ata akuwa nalo timu ya wataalam wakawa wanashugurikia tatizo tofauti na ambalo analo mgonjwa.
Sasa sijui ni kwanini doctor alipindisha majibu ya mgonjwa yule