Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
State ni wahuni wale wale.New CEO, pole pole anajimilikisha kampuni ameshaonja utamu wa madaraka ngumu kuuacha. Hana imani na kuendelea na miaka mingine kwan anajua hana nguvu na ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama, hivyo anaweza kufuata njia ya By gone kurudi kitini.
Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena. Branch manager mpya wa Kaskazini maarufu sana ndio tegemeo lake, na kwa mujibu wa chanzo kimoja wapo mwanae pia. Hawa ndio watu kidogo anawaamini katika mipango yake.
Njia za By gone naona akizipita New CEO, swali je atafanikiwa? Vipi state ina mipango gani na Next CEO?? Je watamruhusu current CEO aendelee? Kwani amekataa suala la kitabu ambalo lilikuwa sehemu ya matakwa ya kutekeleza kutoka kwa State, Kwa hali ilivyo kwenye mifuko ya wanakampuni hali ni tete sana, na kuna sababu za halisia na zisizohalisia ni za makusudi katika kushushana matumaini kwa wanakampuni.
Tuendele kutazama movie.
Nyerere na wenzake wanastahili lawama, walipokumbali mfumo wa vyama vingi,
Walipaswa kuweka misingi mingine ya chama kisikae madarakani muda wote kimoja,
Wangefanya japo vyama viwili vyenye sera tofauti kupishana madarakani kila baada ya muda fulani,
Hii ikitokea chama fulani kimewekwa kando kiweze kujiafakari wapi kimekosea,
Wao wakaishia tu kuwa na utaratibu wa kiti cha urais mtu akae mihula miwili,
Na eti Nchi hii bila chama cha CCM madhubuti itayumba,
Waliangalia ubinafsi si maslahi mapana ya taifa ya muda mrefu.
Mwl hayupo madarakani, katiba ameiona akitokea rais kichaa anaweza kuitumia vibaya akaonekana ni mungu mtu, wakati Mwl ushawishi kwenye chama bado anao je kitu gani kilimzuia kutengenezwa katiba mpya mwaka ule wa kukubali vyama vingi?
Akaishia kutuma mashushushu waanzishe vyama vya upinzani nchi kwa nje ionekane ina vyama vya upinzani kumbe hamna lolote,
Akina Augustine Lyatoga Mrema, Seif Sharif Hamad, Hamad Rashid, Juma Duni, Mabele Nyaucho Marandu na wengine wengi.