New CEO, pole pole anajimilikisha kampuni ameshaonja utamu wa madaraka ngumu kuuacha. Hana imani na kuendelea na miaka mingine kwan anajua hana nguvu na ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama, hivyo anaweza kufuata njia ya By gone kurudi kitini.
Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena. Branch manager mpya wa Kaskazini maarufu sana ndio tegemeo lake, na kwa mujibu wa chanzo kimoja wapo mwanae pia. Hawa ndio watu kidogo anawaamini katika mipango yake.
Njia za By gone naona akizipita New CEO, swali je atafanikiwa? Vipi state ina mipango gani na Next CEO?? Je watamruhusu current CEO aendelee? Kwani amekataa suala la kitabu ambalo lilikuwa sehemu ya matakwa ya kutekeleza kutoka kwa State, Kwa hali ilivyo kwenye mifuko ya wanakampuni hali ni tete sana, na kuna sababu za halisia na zisizohalisia ni za makusudi katika kushushana matumaini kwa wanakampuni.
Tuendele kutazama movie.