Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Hakuna antidote ya polonium mkuu, zaidi utapewa supportive therapy kama kutumia chelating agents na Gastric salvage kuiondoa mwilini na hapa itategemea umekula kiasi gani tofouti na hapo unakwenda na maji mapema.

Kumbuka inahusika na utoaji wa mionzi mikali ambayo huaribu seli za damu nyekundu na kuharibu kiwanda chake katika uboho (bone marrow) kupona huwa nj majaaliwa.

Hata ukipona hutokuwa na maisha marefu
Dah nyboma hupo deep sana. Asante kwa elimu.
 
Ndo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....
Ichi ndo kipengele katika simlizi hii , sikukuwahi kukukielewa ? Huwa kina ninanichanganya mpaka leo hasa hapo kwenye documents
 
Madam Basi wewe utakuwa kidoti. Ungekuwa mwanamme basi Mwana FA
Fa na kidoto siku zile za sintofahamu kuna kitu waliandika kila mmoja kwa namna yake, kila aliyesoma alijua tu yamkini hali sio shwari.
 
New CEO, pole pole anajimilikisha kampuni ameshaonja utamu wa madaraka ngumu kuuacha. Hana imani na kuendelea na miaka mingine kwan anajua hana nguvu na ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama, hivyo anaweza kufuata njia ya By gone kurudi kitini.

Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena. Branch manager mpya wa Kaskazini maarufu sana ndio tegemeo lake, na kwa mujibu wa chanzo kimoja wapo mwanae pia. Hawa ndio watu kidogo anawaamini katika mipango yake.

Njia za By gone naona akizipita New CEO, swali je atafanikiwa? Vipi state ina mipango gani na Next CEO?? Je watamruhusu current CEO aendelee? Kwani amekataa suala la kitabu ambalo lilikuwa sehemu ya matakwa ya kutekeleza kutoka kwa State, Kwa hali ilivyo kwenye mifuko ya wanakampuni hali ni tete sana, na kuna sababu za halisia na zisizohalisia ni za makusudi katika kushushana matumaini kwa wanakampuni.

Tuendele kutazama movie.
 
😳😳😳
 
Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena.
Pole sana kwa kutozielewa siasa za sasa za CEO na chama tawala.

Ili uelewe vizuri lazima utambue nani hasa mwenye sauti ya mwisho. Labda wimbo fulani wa msanii wetu utakusaidia kuunganisha nukta.

Purukushani zingine zote ni mkakati uleule wa maandalizi ya kujinadi kwa umma 2025.
 
Back
Top Bottom