Kweli kijana, mimi mwenyewe ilinipa shida sana hasa kuhusu kitanda na kubanana, ndio maana baadae nikachonga kitanda cha 8 kwa 10, Kwa sasa najiachia kwa raha zangu, afu ujue kulala mnagusanagusana is unhygienic, mnaweza mkaambukizana magonjwa mtambuka, nakushauri kwa kipindi hiki mlete Evelyn Salt kwa mwenyekiti ili ajifunze funze then baada ya miezi mitatu atarudi kwako, afu anaweza rudi na mimba kabisa ikawa faida marambili. Free advice, you better take it, afterall you have nothing to lose

Kitanda chote hicho kwani mwili wako una majipu???? au kimekuwa swimingi puli.... ndio maana baadae nikachonga kitanda cha 8 kwa 10.....
kujitakia kukwepesa tu.... Tehe tehe....Kitanda chote hicho kwani mwili wako una majipu???? au kimekuwa swimingi puli
Yaani we bado unalalia kitanda cha urithi? Sasa wewe nguvu zako unazitumia kufanya nini? Hebu jishughurishe bana haya mambo ya kulala 2.5x6 ni shuleni. Unayetaka kuoa at least 4x6.
Baba V nimependa ushauri wako mkuu. Slave afuate tu kwani kwa mkewe mtarajiwa Evelyn Salt itakuwa ziara ya mafunzo.
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.
hapana siutaki huo ushauri wake.