Darsa lahitajika.

Darsa lahitajika.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.
 
Kweli kijana, mimi mwenyewe ilinipa shida sana hasa kuhusu kitanda na kubanana, ndio maana baadae nikachonga kitanda cha 8 kwa 10, Kwa sasa najiachia kwa raha zangu, afu ujue kulala mnagusanagusana is unhygienic, mnaweza mkaambukizana magonjwa mtambuka, nakushauri kwa kipindi hiki mlete Evelyn Salt kwa mwenyekiti ili ajifunze funze then baada ya miezi mitatu atarudi kwako, afu anaweza rudi na mimba kabisa ikawa faida marambili. Free advice, you better take it, afterall you have nothing to lose
 
Last edited by a moderator:

hapo neno moja tu ndio nimelielewa hilo la kuwa ni bedi ya futi 8 kwa 10 huu ushauri mzuri. Ile mwingine siungi mkono. Wapi Mama v njoo usikie ushauri ninao pewa na mumeo.
 
Last edited by a moderator:
Yaani we bado unalalia kitanda cha urithi? Sasa wewe nguvu zako unazitumia kufanya nini? Hebu jishughurishe bana haya mambo ya kulala 2.5x6 ni shuleni. Unayetaka kuoa at least 4x6.
 
Kweli kijana, mimi mwenyewe ilinipa shida sana hasa kuhusu kitanda na kubanana, ndio maana baadae nikachonga kitanda cha 8 kwa 10, Kwa sasa najiachia kwa raha zangu, afu ujue kulala mnagusanagusana is unhygienic, mnaweza mkaambukizana magonjwa mtambuka, nakushauri kwa kipindi hiki mlete Evelyn Salt kwa mwenyekiti ili ajifunze funze then baada ya miezi mitatu atarudi kwako, afu anaweza rudi na mimba kabisa ikawa faida marambili. Free advice, you better take it, afterall you have nothing to lose

Ushauri Mujarab huu...
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume utalaliaje godoro?mwanaume lala chini?

Yaani we bado unalalia kitanda cha urithi? Sasa wewe nguvu zako unazitumia kufanya nini? Hebu jishughurishe bana haya mambo ya kulala 2.5x6 ni shuleni. Unayetaka kuoa at least 4x6.
 
Baba V nimependa ushauri wako mkuu. Slave afuate tu kwani kwa mkewe mtarajiwa Evelyn Salt itakuwa ziara ya mafunzo.

Umeona ee! unajua utu uzima dawa, ni vema hawa vijana tukawapa uzoefu katika masuala ya mapenzi ikiwa ni pamoja na kuwatengenezea njia
 
Last edited by a moderator:
Slave wewe uwe unalala chini, maana sio lazima mlale wote kitandani
 
Last edited by a moderator:
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.

Ndo maana sikutaka kusubiri hadi ndoa nimelazimishwa tu!!!
ningekuwa nimekuja kwako si ningejua saizi ya hako kakitanda, baby usiniharibie siku naomba uende Furnishers ukanunue kitanda na godoro, la sivo huko hanimoon sitaondoka!!!
au kama mwenyekiti Baba V alivosema, nitalala kwake hadi ununue kingine.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom