Darsa lahitajika.

Darsa lahitajika.

---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.


Ahsante sana, hivi sasa nimeanzisha ukurasa wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Karibu sana uchangie mada huko. Kuna maswali mengi ambayo nnaulizwa na nnauhakika kuna wengi humu wana uwezo wa hali ya juu wa kujibu mengineyo mengi.
 
Back
Top Bottom