Darsa lahitajika.

Darsa lahitajika.

he he he kitanda chako size gani!!!!!
salt ishahakikiwa ina muhuli wa tbs tayari....

Kwangu all sizes zipo! Wewe tuu na chaguo la moyo wake. Halafu swala la chumvi wengne sie matomaso. Twajaribu hata vilivyothibitishwa na TBS.
 
Slave yupo hapo chini, akiondoka tutaongea vizuri!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.

poa sasa wewe inatakiwa uwe mchungaji? 2. Au we unacemaje?
 
Aisee Slave ... Ngoja nikupe 10Million walau ufungue biashara. Maana naona huyu mke mtarajiwa Evelyn Salt ni hatari.... Nipe namba yako ya account ya CHIT CHAT BANK...
 
Last edited by a moderator:
Aisee Slave ... Ngoja nikupe 10Million walau ufungue biashara. Maana naona huyu mke mtarajiwa Evelyn Salt ni hatari.... Nipe namba yako ya account ya CHIT CHAT BANK...

Sio kwamba mi ni hatari Donn pesa muhimu bwana kwanini nifubae??????
angenikuta nimefubaa angenipenda?
 
Last edited by a moderator:
Aisee... Slave uko wapi tufanye mchakato uhamishie jiko pale kitaa?

nilikuwa huku computer room niki create software kadha wa kadha kwa ajili ya kuilinda ndoa yangu..mpaka sasa nimefanikiwa ku hack akaunti zote fb twttr pamoja na jf.nilichojifunza mke wangu Evelyn Salt ananipenda sana,nimeona majibu anayo wajibu wadoezi. Love ma wife.
 
Last edited by a moderator:
Aisee Slave ... Ngoja nikupe 10Million walau ufungue biashara. Maana naona huyu mke mtarajiwa Evelyn Salt ni hatari.... Nipe namba yako ya account ya CHIT CHAT BANK...

nah! Thnx hizo pesa kwangu ni nyingi sana kama laki sawa. Ac/cc 000000000/12 tupia humo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom