ngoja nitafakari my dia,naweza kuunga mkono hoja.
he he he kitanda chako size gani!!!!!
salt ishahakikiwa ina muhuli wa tbs tayari....
Kwangu all sizes zipo! Wewe tuu na chaguo la moyo wake. Halafu swala la chumvi wengne sie matomaso. Twajaribu hata vilivyothibitishwa na TBS.
---Hii ni kesi ingine. Ukiacha ile ya kutafuta mchumba kuna hii ya kukaa pamoja. Muda wowote nitaingia katika maisha mapya ambayo sikuwahi ishi, 1.kubanana bedini-- nimezoea sana kujinafasi nalala kwa raha zangu,ila baada ya ndoa itakuwa ni mbanano na hivi ka kitanda kangu haka ka urithi nika banco 2.5 kwa 6 nahisi kama nitakuwa nashindwa pumua aisee. Nipeni darsa mapema kabla mambo hayajakorogana.

miss u......
nawe nishauri kitoto toto. charminglady
Aisee Slave ... Ngoja nikupe 10Million walau ufungue biashara. Maana naona huyu mke mtarajiwa Evelyn Salt ni hatari.... Nipe namba yako ya account ya CHIT CHAT BANK...
mh.. Ni ukweli ila ukweli unaouma.... Ngoja nimpige tafu chalii angu Slave
Aisee... Slave uko wapi tufanye mchakato uhamishie jiko pale kitaa?
Aisee Slave ... Ngoja nikupe 10Million walau ufungue biashara. Maana naona huyu mke mtarajiwa Evelyn Salt ni hatari.... Nipe namba yako ya account ya CHIT CHAT BANK...
nah! Thnx hizo pesa kwangu ni nyingi sana kama laki sawa. Ac/cc 000000000/12 tupia humo.
Donn wewe ni rafiki yangu lakini ushauri wako ndo utatugawa mimi na wewe.