Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Sema tu wahusika wenyewe hawako siriasi,wana mambo yao binafsi. Ukiangalia mabasi yaliyoharibika na kutelekezwa,unajiuliza hawa watu wana akili kweli?Hahahahah moja watu wameongezeka ongezeni mabasi,hahahahahaha hakuna mpango wa kununua mabasi! Aisee