Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanacheza drama😄baada ya kusikia kuna mwekezaji mpya atakuja ndio mnajifanya mnaamka eee... kazi kwelikweli
Sio hivyo tu, kuna wakati gari inaondoka tupu, eti analipeleka yadi shift yake imekwisha....Kwani basi zisibadilishe root kulingana na mahitaji..yaani haiingii akilini basi zinasubiria abiria wa Morocco wakati abiria wa Kimara wamejazana hapo zaidi ya saa zima. Madereva pia huenda siyo kosa Lao maana wao wamepangiwa nenda huku nenda kule. Hawajiamuliii pa kwemda. Hao maofisa ndo hopeless
Dakika 30? unabahati wewe, watu wanakaa masaa 2.Gari za Kimara ni chache kuliko idadi ya abiria waliopo, unaweza kufika kituoni ukasimama (Maana sehemu za kukaa ni chache) hadi dk30-saa1 na Morocco zinakwenda gari nyingi kuliko idadi ya abiria.
Wakazi wa Kimara wanapitia wakati mgumu sana.