Jf ni ofisi za Daruso?
Na daruso ndo wanaotoa hela?
Hata field hawajafika wanataka pesa?
Jf ni ofisi za Daruso?
Na daruso ndo wanaotoa hela?
Sasa kwanini msiende kuzidai mahala husika au movement zinaanzia jf kwanza?
All the bestTafsiri ya kuzidai nadhani haimaanishi mpaka tujazane wote pale mwenge, maana ya kuchagua na kuwa na viongozi ndio inadhirika wakati wa kufatilia madai ya wanaowaongoza...au ukishaona mabomu ndio utajua watu wanadai? Hiyo ni last stage kama njia zote zimeshindikana na ndio ulichokiona kwenye vyuo vingi mwezi April.
Sasa kwanini msiende kuzidai mahala husika au movement zinaanzia jf kwanza?