Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,099
- 1,315
Huu uzi ni special kwa wanaUDSM wote wanaotarajiwa kuanza field tarehe 13 July na mpaka sasa hakuna uhakika wa kupata hela za kujikimu. Najua viongozi wa Daruso mmetuahidi mengi lakini jana Chuo kimefungwa bila ya ahadi yenu kutimia. Tupeni jibu la ukakika kama kuna hela au ndo msoto kama wa mwaka jana.