DARUSO tupeni majibu ya kueleweka

DARUSO tupeni majibu ya kueleweka

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,099
Reaction score
1,315
Huu uzi ni special kwa wanaUDSM wote wanaotarajiwa kuanza field tarehe 13 July na mpaka sasa hakuna uhakika wa kupata hela za kujikimu. Najua viongozi wa Daruso mmetuahidi mengi lakini jana Chuo kimefungwa bila ya ahadi yenu kutimia. Tupeni jibu la ukakika kama kuna hela au ndo msoto kama wa mwaka jana.
 
Jf ni ofisi za Daruso?
Na daruso ndo wanaotoa hela?
 
Hata field hawajafika wanataka pesa?

Mkuu huelewi mchezo uliotokea mwaka jana, na DARUSO wanawaza wafikia wanafunzi kwa njia za mitandao ya kijamíi pia...walitoa tangazo humuhumu katikati ya wiki so cjaona ubaya kuwafikia kupitia huku
 
Jf ni ofisi za Daruso?
Na daruso ndo wanaotoa hela?

Nahisi huo uzi hujauelewa kwa sasa wanafunzi wametawanyika hawapo chuoni na wanaofatilia ni Daruso kwa niaba yetu, tunachoomba ni majibu wanayopewa huko ili tujue inakuaje, wote tukijaa pale Heslb unadhani itakuwaje?
 
Sasa kwanini msiende kuzidai mahala husika au movement zinaanzia jf kwanza?

Tafsiri ya kuzidai nadhani haimaanishi mpaka tujazane wote pale mwenge, maana ya kuchagua na kuwa na viongozi ndio inadhirika wakati wa kufatilia madai ya wanaowaongoza...au ukishaona mabomu ndio utajua watu wanadai? Hiyo ni last stage kama njia zote zimeshindikana na ndio ulichokiona kwenye vyuo vingi mwezi April.
 
All the best
 
Hapo mmepigwa changa la macho mpaka wabunge walipane kwanza na wanafunzi ndo mfikiriwe. Kuweni na uvumilivu
 
Hapo mmepigwa changa la macho mpaka wabunge walipane kwanza na wanafunzi ndo mfikiriwe. Kuweni na uvumilivu

Kwa serikali yetu sitashangaa...mwaka jana zilienda bunge la katiba na tulihenyeka sana
 
Serikali ime2mia ujanja wa kuwarubuni kwa kuwasainisha majina bila ya kuwepo kwa pesa.
 
Nyie madogo uvumiliv ndo kila kitu,toeni kwanz ccm madarakan
 
Mmechemka kuondoka kabla hazijawekwa.
 
Back
Top Bottom