Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 148
- Thread starter
-
- #21
Kuna mmoja alivuma miaka ya 90 kama mganga alikuwa akitibu ukimwi. Aliishi moshi maeneo ya dsm street jina lake kamili lilikuwa:shaaban darweshi .. Sijui ndo mwenyewe??
Amini kuwa Mungu yupo ndo aliyeumba hewa sasa kama mchawi anaweza kama wwe unavyosema mungu atashindwaje sasa? huyu ni darwesh asli yake alikuwa mkristo tena mkatoriki kabla kubadilishwa na Allah mwenyewe,mwalimu nyerere mwenyewe alikuwa anamwogopa sana huyu mzee alishawekwa ndani kilosa alipoambiwa atafute mdhamana akasema mndhamana wangu ni yule pale akionyesha picha ya baba wa taifa,wale mapolisi wakaogopa wakaanza kupiga cm ngazi kwa ngazi hadi ikamfikia nyerere alipouliza na kuelezwa mtu mwenyewe alivyo palepale akamtambua na kuwaambia wamtoe haraka sana wasije wakamtafutia balaa.Eti mkipanda ndege pamoja mnamkuta ameshafika ninyi bado. Aiseee Mkuu, katika ulimwengu wa roho kuna mipaka yake na kuna sehemu mambo hayaendi kirahisi hivyo.
Kifupi hamna uchawi huo.
Namfahamu vizuri huyo Darwesh kwa jina jengine Shekh rocket. Hana karama zozote ni maamuma wa mwisho. Safari zote as hijja anapata misaada kutoka kwa mashia. Nilikuwa nae hema moja Makkah 2015. Utashangaa matusi yanavyomtoka ktk kulingania. Dish lake limecheza.
Umetoka nje ya mada bro.Matusi hatutaki jamani nyinyi Mawahabi,mbona hatuwasemi vibaya kuhusu sheikh wenu Muhamad Abdulwahab aliyeanzisha madheheb yenu kuwa ni myahudi? kwani mnadhani sisi hatujui hilo?hata mtume[saw]aliwatabiri ujio wenu akasema nyinyi ni pembe kati ya pembe moja la shetani! je ni uongo?
Samahani sana ila hawa jamaa wa wahabi ni wakorofi sana na hawana uvumilivu kabisa
Kwakweli mimi pia nimesikia mengi kuhusu huyo darwesh hasa viroja alivyofanya akiwa mikoa ya kusini, Kwamba aliwahi kuwekwa mahabusu lakini ikawa ikifika muda wa swala anatoka kimiujiza, anarudi tena mahabusu anaomba wamfungulie aingie tena mahabusu.
Pili, kwamba kuna kijiji walimdhihaki basi akawalaani ikaja mvua sio ya kawaida ikabadirisha mkondo wa mto maji yakapita katika hicho kijiji tena usiku wa manane na kuleta madhara makubwa ya vifo na kukifuta hicho kijiji katika uwepo wake.
Ni hayo pamoja na mengi tumesikia masimulizi ya mtu huyo, na kwamba mpaka sasa huyo bwana yupo dar es salaam.
Hapana, ule msikiti umeanzishwa na ahammadya wenye asili ya Pakistan.Hata Mimi nilivyoishi Mtwara habari hii niliisikia. Na pale Raha Leo karibu na Yale maghorofa ya NHC kuna msikiti wanasema yeye ndiyo aliyeanzisha.
Hapana, ule msikiti umeanzishwa na ahammadya wenye asili ya Pakistan.
Ahaa sawa shekh, nitafuatilia kujua undani wake ule.Achana na ile wa Ahammadya ule unaofuata wenye uwanja mkubwa. Jina nimeusahau Sheikh.
Ahaa sawa shekh, nitafuatilia kujua undani wake ule.
Hahahahaa nina safari ya Ntwara Dec 3 lazima niende pale. Nafikiri upo karibu na yard ya ng'itu.Nenda pale watakusimulia, tena Kiwanja kilikuwa na mgogoro,akaanzisha msikiti wa miti tuu mpk Leo upo wa Tofali na nyumba ya Ostadh ipo pale. Ofisini walinisimulia stori nyingi kumuhusu. Si unajua Ntwara tena wenyewe wanatuita wakaskazini sisi wageni.
Hahahahaa nina safari ya Ntwara Dec 3 lazima niende pale. Nafikiri upo karibu na yard ya ng'itu.
Uko sawa shekhSikuwa mtembezi sana ila nilikuwa nachukua raqaa zangu pale siku moja moja. Pembeni kuna mwembe mkubwa kuna mafundi Magari.Pia kwa mbele kuna kota za jeahi.
Uko sawa shekh
Ntwara kuna stori sana kuna huyo swali naleke, kuna yule Agent wa solar ( tajiri sana) na mengine mengi ukisikia stori unabaki kushangaa.
Asante sana kaka lazalaza haya ndio mambo tunayotaka kuyajua,je sasa hivi unadhani yuko wapi huyo mzee na je anaishi mtwara tu au hata na huku dar anaishi pia?
Huyo darwesh unaemzungumxia namfahamu yupo pale Lind mjin sehem inaitwa mtanda ...nmekaa naongea nae ...nmemjua vizur .......hana elimu ya dini kabisa ......... Na kuhusu kwenda makka kwa DKK ??? ...mtume na maswahaba walikuwa bora kushnda huyo jamaa ...ila walitembea masafa marefu ...jangwan ..kiu na bughudha zikiwaandama ...lak in hakuna aliyepaa ....je hakuna mtukufu kat yao ??? .....watu hao Mara nyng wana mashetan ndo wanayofanya hivo ........{NO OFFENSE GUYS}Habari zenu waungwana nawasalimu sana,hoja yangu iliyonileta hapa leo ni kitu kinachonitatiza na chenyewe ni:miaka ya 80 na 90 kulikuwa kuna mzee mmoja maarufu sana nchini akifahamika kama darwesh[kuswali mnareke] ambaye mungu alimpa uwezo mkubwa sana,moja ya maajabu yake alikuwa anaweza kwenda Maka kwa dakika tu nyinyi mkitoka hapa na ndege mnamkuta kashafika na anawapokea na makarama mengine mengi sana mungu aliyomjaria,sasa nia yangu haswa ni kutaka kujua huyu mzee sasa hivi je yuko wapi? na kwa wale mliobahatika kuona maajabu yake mnaruhusiwa kufunguka,na kwa yeyote mwenye la kusema anakaribishwa ila tu nawaomba sana tuchangie kwa upendo na upole kwa maana si jambo zuri kusimanga wala kutukana dini ya mwenzako,dhumuni ni kuhifadhi histori,kwenu wadau...
Master, habari yako, hivi hiyo histori ya abdulwahab umeitoa kitabu gani ili nami ikiwezekana nikitafute?Samahani sana ila hawa jamaa wa wahabi ni wakorofi sana na hawana uvumilivu kabisa
Ni kweli maneno yako kaka, kuna watu wamejichukulia umaarufu mkubwa kwa mgongo wa dini lakini kumbe dini yenyewe hawaijui na pia juu yake ni washirikina wakubwa kabisa, Allah atustir.Huyo darwesh unaemzungumxia namfahamu yupo pale Lind mjin sehem inaitwa mtanda ...nmekaa naongea nae ...nmemjua vizur .......hana elimu ya dini kabisa ......... Na kuhusu kwenda makka kwa DKK ??? ...mtume na maswahaba walikuwa bora kushnda huyo jamaa ...ila walitembea masafa marefu ...jangwan ..kiu na bughudha zikiwaandama ...lak in hakuna aliyepaa ....je hakuna mtukufu kat yao ??? .....watu hao Mara nyng wana mashetan ndo wanayofanya hivo ........
Na kuhusu jina 'darwesh....katazame ktk dictionary za kiarabu ....n jumba tupu lisokaliwa na watu na kidini n mtu asie na elimu
Wanamsakama muhammad abdulwahab pamoja na imam abdulaziz ibn saud hawa mujadid ..walifanya juhud kubwa kuusafsha uislamu na ushirikina hta wakapambana na Ottomans sabb w alikuwa n sufiya al kuburiya ........na shahada zao walizotamka hazikuwasaidia chochote .......Ni kweli maneno yako kaka, kuna watu wamejichukulia umaarufu mkubwa kwa mgongo wa dini lakini kumbe dini yenyewe hawaijui na pia juu yake ni washirikina wakubwa kabisa, Allah atustir.