Darweshi ni nani?

Darweshi ni nani?

Eti mkipanda ndege pamoja mnamkuta ameshafika ninyi bado. Aiseee Mkuu, katika ulimwengu wa roho kuna mipaka yake na kuna sehemu mambo hayaendi kirahisi hivyo.

Kifupi hamna uchawi huo.
Amini kuwa Mungu yupo ndo aliyeumba hewa sasa kama mchawi anaweza kama wwe unavyosema mungu atashindwaje sasa? huyu ni darwesh asli yake alikuwa mkristo tena mkatoriki kabla kubadilishwa na Allah mwenyewe,mwalimu nyerere mwenyewe alikuwa anamwogopa sana huyu mzee alishawekwa ndani kilosa alipoambiwa atafute mdhamana akasema mndhamana wangu ni yule pale akionyesha picha ya baba wa taifa,wale mapolisi wakaogopa wakaanza kupiga cm ngazi kwa ngazi hadi ikamfikia nyerere alipouliza na kuelezwa mtu mwenyewe alivyo palepale akamtambua na kuwaambia wamtoe haraka sana wasije wakamtafutia balaa.
 
Namfahamu vizuri huyo Darwesh kwa jina jengine Shekh rocket. Hana karama zozote ni maamuma wa mwisho. Safari zote as hijja anapata misaada kutoka kwa mashia. Nilikuwa nae hema moja Makkah 2015. Utashangaa matusi yanavyomtoka ktk kulingania. Dish lake limecheza.

Matusi hatutaki jamani nyinyi Mawahabi,mbona hatuwasemi vibaya kuhusu sheikh wenu Muhamad Abdulwahab aliyeanzisha madheheb yenu kuwa ni myahudi? kwani mnadhani sisi hatujui hilo?hata mtume[saw]aliwatabiri ujio wenu akasema nyinyi ni pembe kati ya pembe moja la shetani! je ni uongo?
 
Umetoka nje ya mada bro.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli mimi pia nimesikia mengi kuhusu huyo darwesh hasa viroja alivyofanya akiwa mikoa ya kusini, Kwamba aliwahi kuwekwa mahabusu lakini ikawa ikifika muda wa swala anatoka kimiujiza, anarudi tena mahabusu anaomba wamfungulie aingie tena mahabusu.
Pili, kwamba kuna kijiji walimdhihaki basi akawalaani ikaja mvua sio ya kawaida ikabadirisha mkondo wa mto maji yakapita katika hicho kijiji tena usiku wa manane na kuleta madhara makubwa ya vifo na kukifuta hicho kijiji katika uwepo wake.
Ni hayo pamoja na mengi tumesikia masimulizi ya mtu huyo, na kwamba mpaka sasa huyo bwana yupo dar es salaam.

Hata Mimi nilivyoishi Mtwara habari hii niliisikia. Na pale Raha Leo karibu na Yale maghorofa ya NHC kuna msikiti wanasema yeye ndiyo aliyeanzisha.
 
Ahaa sawa shekh, nitafuatilia kujua undani wake ule.

Nenda pale watakusimulia, tena Kiwanja kilikuwa na mgogoro,akaanzisha msikiti wa miti tuu mpk Leo upo wa Tofali na nyumba ya Ostadh ipo pale. Ofisini walinisimulia stori nyingi kumuhusu. Si unajua Ntwara tena wenyewe wanatuita wakaskazini sisi wageni.
 
Hahahahaa nina safari ya Ntwara Dec 3 lazima niende pale. Nafikiri upo karibu na yard ya ng'itu.
 
Hahahahaa nina safari ya Ntwara Dec 3 lazima niende pale. Nafikiri upo karibu na yard ya ng'itu.

Sikuwa mtembezi sana ila nilikuwa nachukua raqaa zangu pale siku moja moja. Pembeni kuna mwembe mkubwa kuna mafundi Magari.Pia kwa mbele kuna kota za jeahi.
 
Ntwara kuna stori sana kuna huyo swali naleke, kuna yule Agent wa solar ( tajiri sana) na mengine mengi ukisikia stori unabaki kushangaa.

Asante sana kaka lazalaza haya ndio mambo tunayotaka kuyajua,je sasa hivi unadhani yuko wapi huyo mzee na je anaishi mtwara tu au hata na huku dar anaishi pia?
 
Asante sana kaka lazalaza haya ndio mambo tunayotaka kuyajua,je sasa hivi unadhani yuko wapi huyo mzee na je anaishi mtwara tu au hata na huku dar anaishi pia?

Kiukweli miye sikuwahi kumuona na pale nilikuwa mgeni, ila ofisini kwetu nilikuwa na stori sana za huyu Sheikh, za yule bibi wa madimba. Nasikia alikuwa mkristo pia ndanda pale ana stori zake km za Mtwara na anamsikiti. Kujua sehemu alipo sifaham ndiyo kwanza nilimsikia huko kusini.
 
{NO OFFENSE GUYS}Habari zenu waungwana nawasalimu sana,hoja yangu iliyonileta hapa leo ni kitu kinachonitatiza na chenyewe ni:miaka ya 80 na 90 kulikuwa kuna mzee mmoja maarufu sana nchini akifahamika kama darwesh[kuswali mnareke] ambaye mungu alimpa uwezo mkubwa sana,moja ya maajabu yake alikuwa anaweza kwenda Maka kwa dakika tu nyinyi mkitoka hapa na ndege mnamkuta kashafika na anawapokea na makarama mengine mengi sana mungu aliyomjaria,sasa nia yangu haswa ni kutaka kujua huyu mzee sasa hivi je yuko wapi? na kwa wale mliobahatika kuona maajabu yake mnaruhusiwa kufunguka,na kwa yeyote mwenye la kusema anakaribishwa ila tu nawaomba sana tuchangie kwa upendo na upole kwa maana si jambo zuri kusimanga wala kutukana dini ya mwenzako,dhumuni ni kuhifadhi histori,kwenu wadau...
Huyo darwesh unaemzungumxia namfahamu yupo pale Lind mjin sehem inaitwa mtanda ...nmekaa naongea nae ...nmemjua vizur .......hana elimu ya dini kabisa ......... Na kuhusu kwenda makka kwa DKK ??? ...mtume na maswahaba walikuwa bora kushnda huyo jamaa ...ila walitembea masafa marefu ...jangwan ..kiu na bughudha zikiwaandama ...lak in hakuna aliyepaa ....je hakuna mtukufu kat yao ??? .....watu hao Mara nyng wana mashetan ndo wanayofanya hivo ........

Na kuhusu jina 'darwesh....katazame ktk dictionary za kiarabu ....n jumba tupu lisokaliwa na watu na kidini n mtu asie na elimu
 
Ni kweli maneno yako kaka, kuna watu wamejichukulia umaarufu mkubwa kwa mgongo wa dini lakini kumbe dini yenyewe hawaijui na pia juu yake ni washirikina wakubwa kabisa, Allah atustir.
 
Ni kweli maneno yako kaka, kuna watu wamejichukulia umaarufu mkubwa kwa mgongo wa dini lakini kumbe dini yenyewe hawaijui na pia juu yake ni washirikina wakubwa kabisa, Allah atustir.
Wanamsakama muhammad abdulwahab pamoja na imam abdulaziz ibn saud hawa mujadid ..walifanya juhud kubwa kuusafsha uislamu na ushirikina hta wakapambana na Ottomans sabb w alikuwa n sufiya al kuburiya ........na shahada zao walizotamka hazikuwasaidia chochote .......

Kingne wanamtuhum kushirikiana na waingereza dhidi ya uislamu na huu n uongo

Tatzo watu wanaichanganya serikal ya sasa ya Saudis ambayo imepotoka na wanainasbisha na kizaz cha mwanzo cha ibn saud ambao walikuwa ktk dini na hawa wamepotoka

In sha Allah kuna haja ya kuandika kitabu kujibu shutuma zao
 
Back
Top Bottom