Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia DaslamuDar es Salaam ni kubwa sijui unazungumzia Dar ipi.
Shida ni hapo mjini, wala vyepeMaeneo ya hivo Manyovu kigoma, Zenji yamejaa
Tunaongelea kijanj / mandhariSasa mamigomba kama hyo Huku Dar ya kazi gani
Kijani!! Tembea basi kama migomba dar sawaTunaongelea kijanj / mandhari
Hamjui kazi ya Migomba watu wa dar?Sasa mamigomba kama hyo Huku Dar ya kazi gani
HahaaaaNa nyie hakuna Bahari huko kwenu kama Dasilamu
Manyovu ya wap mzee baba mbona kule hapako njema mnanila,munzenze,buhigwe au wapMaeneo ya hivo Manyovu kigoma, Zenji yamejaa
Huko ulikotaja zinaishi zile familia ambazo most ni well off sasa huku mikoani ni fahari ya wote [emoji23][emoji23]Mkuu umeshawahi kukatiza maeneo ya Kindondoni Moscow,Masaki na Oystebay ukaona hali ikoje...?