Daslamu Hakunaga Kama hii....

Daslamu Hakunaga Kama hii....

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Hapo Daslamu kwa wazeiya wa Viepe yai
Wali nazi,
Supu ya Pweza

Huezi kuta kijani kibichi kama hiki Viunga vyote vya Daslamu

#Kilimanjaro, #Mbeya #Kagera #Matombo_Morogoro

Cc
General Mangi
Mr. Kilimanjaro
Mr. MTUI
Beira Boy
yna2
@Financial Service
FB_IMG_1569316174837.jpeg
 
Mkuu umeshawahi kukatiza maeneo ya Kindondoni Moscow,Masaki na Oystebay ukaona hali ikoje...?
Huko ulikotaja zinaishi zile familia ambazo most ni well off sasa huku mikoani ni fahari ya wote [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom