Pole mkuu.Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?
Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.
Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita
Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.
NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.
MDH kama Lahe hotel😀MDH kama Diageo posts daily wanaoitwa huwasikii ila ajira ya post hiyo hiyo utaiona mara kibao
Shukrani sana kwa info 🙏Pole mkuu.
Tayari vijana wameanza kazi.
Daaah hizi NGO ni noma 😂😂😂MDH kama Diageo posts daily wanaoitwa huwasikii ila ajira ya post hiyo hiyo utaiona mara kibao
Hahaha mkuu kwani umehamia mdh siku hizi maana umejibu kama upo jikoniPole mkuu.
Tayari vijana wameanza kazi.
Mkuu usipotoshe watu,hakuna alokua kazini mpaka muda huu,usipende kukatisha tamaa vijana wenzetu na kuharibu taswira ya taasisiPole mkuu.
Tayari vijana wameanza kazi.
Nikweli mkuu, hawa jamaa wamepata miradi mingine zaidiMDH kama Diageo posts daily wanaoitwa huwasikii ila ajira ya post hiyo hiyo utaiona mara kibao
Sio kweli mkuuPole mkuu.
Tayari vijana wameanza kazi.
Mpaka mtu unaamini hii post nimeshaomba.Nikweli mkuu, hawa jamaa wamepata miradi mingine zaidi
vipi mkuu hadi sasa majibu yametoka au bado..Habari zenu ndugu naomba kufaham kwa waliofanya interview mdh geita 12/3 majibu yameshatoka au bado?
vipi mkuu wamekuita tupe mrejeshoKwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?
Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.
Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita
Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.
NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.
MDH siku zote waznguaji , sema nn bahati is matter.Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?
Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.
Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita
Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.
NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.
Hivi mkuu huwa inachukua muda gani toka interview had kuitwa kaziniMkuu usipotoshe watu,hakuna alokua kazini mpaka muda huu,usipende kukatisha tamaa vijana wenzetu na kuharibu taswira ya taasisi