Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?
Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.
Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita
Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.
NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.