Data Officer MDH

Data Officer MDH

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
469
Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?

Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.

Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita

Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.

NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.
 
Pole mkuu.
Tayari vijana wameanza kazi.
 
Nafikiri tarehe ya mwisho kutuma maombi ilikua ni 26 March 2022.
Sasa kwa fikra ya kawaida, watakua hawajaita yeyote bado
 
Habari zenu ndugu naomba kufaham kwa waliofanya interview mdh geita 12/3 majibu yameshatoka au bado?
 
Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ?

Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio.

Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama selection ishafanyika au la mana muda tuliohaidiwa kupigiwa simu ushapita

Nimeuliza hivyo sababu michakato ya ajira migumu sana, unaweza ukawa unasubiria na kujipa matumaini kumbe watu washaanza kazi.

NB: Sio lazima mimi nipate ila tukijua kwamba kuna wenzetu washaitwa kazini nalo ni jambo jema mana inatupunguzia matarajio.
vipi mkuu wamekuita tupe mrejesho
 
MDH siku zote waznguaji , sema nn bahati is matter.
 
Back
Top Bottom