Nani atajua hushangilii tenaSiku simba ikifika nusu fainali yoyote africa naacha shangilia mpira
Good good[emoji3]Siku simba ikifika nusu fainali yoyote Africa naacha shangilia mpira
Miaka 25 na mwiko nyumaImewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Simba misimu 5, nafasi ya 9! Huku Yanga wakitumia msimu mmoja tu , kutoka nafasi ya 78 mpaka nafasi ya 18!!Imewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Kwenye hiyo misimu 5 Yanga alikuwa hashiriki mashindano yoteyote ya CAF? Tuanzie hapo kwanza.Simba misimu 5, nafasi ya 9! Huku Yanga wakitumia msimu mmoja tu , kutoka nafasi ya 78 mpaka nafasi ya 18!!
Kwa trend ya aina hii, Yanga akimaliza misimu 5 kama simba, basi atakuwa nafasi ya 1 Afrika.
Kuna mwenzio aliahidi aolewe halafu ni mwanaume.Siku simba ikifika nusu fainali yoyote Africa naacha shangilia mpira
Hapo lazima tujue hizi timu zilianza kushiriki huko caf mwaka gani, ukishajua mwaka walioanza kushiriki inakuwa simpo tuImewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Misimu 25.Ndio mkaingia makundi.Imewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Yaani kuna kudumaa kama kuingia makundi baada ya nusu karne.Yaani tokea Mwalimu Nyerere afariki.Utawala wa Kikwete na Marehemu Magufuli Utopolo walikuwa bado wanasota kuingia makundi.Ukiondoa 20 b ambayo MO anadai amewekeza Simba, Mpaka sasa amenukuliwa akisema amesha tumia bilion 55 cha kushangaza bado timu haivuki robo.
Yaani ukisikia kudumaaa ndio uku.
Yanga akifika nusu fainali CAF CL atajizolea point ngapi?|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' ||
Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano.
Kwa klabu za Tanzania Simba inashika nafasi ya tisa [9] na Yanga nafasi ya kumi na nane [18].
Takwimu hizi kwa msimu wa 2023/24 Alama ambazo klabu zitakusanya kwa msimu huu zitabadilisha muoonekano wa jedwali Kwa msimu wa 2024/25.
HATUFANANI.
Makundi robo karne.Nusu fainali labda karne 2.Akifika ni ndoto tu kama ya Ali Nacha.Lengo asiwe wa mwisho kwenye kundi.Kwani mara ya mwisho robo karne iliyopita alikuwa wa mwisho akiwa na pointi 2.Yanga akifika nusu fainali CAF CL atajizolea point ngapi?