Data za CAF kwa kipindi cha miaka mitano '5yearsranking'

Data za CAF kwa kipindi cha miaka mitano '5yearsranking'

Yaani kuna kudumaa kama kuingia makundi baada ya nusu karne.Yaani tokea Mwalimu Nyerere afariki.Utawala wa Kikwete na Marehemu Magufuli Utopolo walikuwa bado wanasota kuingia makundi.
Ila cha ajabu ameingia fainali ya CAF CC akajizolea point 4

Ambazo zikazidishwa mara tano akapata point 20

Mwaka huu hatuna haraka

Acha twone

Hizo point zako 35 siyo nyingi

Yanga akikaza misimu miwili mfululizo kuingia mskundi au nusu fainali anakukuta vizuri tu

Lengo lilikuwa makundi tushavuna point tayari

Acha twone yajayo
 
Kwa hiyo kwa robo karne ndio mmeweza kupata pointi 4?
Malengo kweli ni kufika makundi fanya mchezo na robo karne!!!!
 
Makundi robo karne.Nusu fainali labda karne 2.Akifika ni ndoto tu kama ya Ali Nacha.Lengo asiwe wa mwisho kwenye kundi.Kwani mara ya mwisho robo karne iliyopita alikuwa wa mwisho akiwa na pointi 2.
Ushabiki maandazi hadi kwenye vitu vya msingi

Ona hapa chini

Yanga ameachwa na Simba kwa point 15 tu

Hizo siyo nyingi
Screenshot_20231027-213821_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo kwa robo karne ndio mmeweza kupata pointi 4?
Malengo kweli ni kufika makundi fanya mchezo na robo karne!!!!
Wewe hizo point 3 ulizopata kwa miaka yote ulipokuwa ukogotea robo yanga akikaza anaweza zipata zote kwa msimu mmoja au miwili

Aahaaaa

Si bora hata Al Ahyl aringe

Maana yeye ana point 83 huko

Sasa wewe hizo 15 ambazo yanga akiingia nusu fainali au fainali anakupumulia kisogoni

Kikubwa tupo makundi point kibindoni

We baki na kelele za robo karne wenzio tunachanja mbunga
Screenshot_20231027-213821_Chrome.jpg
 
Ala kumbe mmeachwa na Simba kwa pointi 15 halafu wavimba macho wenzako walikuwa wanasema ohh Simba kapendelewa kwenye AFL.
Kuna timu hapo kwenye huu ukanda wetu ipo juu ya Simba?Kumbe hata saa mbovu kuna wakati inapatia muda sahihi. Sasa waelimishe Utopolo wenzako kwamba ranking hazisemi uongo.
 
mbona point kumi na tano ni chache sana
 
Simba misimu 5, nafasi ya 9! Huku Yanga wakitumia msimu mmoja tu , kutoka nafasi ya 78 mpaka nafasi ya 18!!

Kwa trend ya aina hii, Yanga akimaliza misimu 5 kama simba, basi atakuwa nafasi ya 1 Afrika.
Hio nafasi ya 18 kaitafuta kwa miaka zaidi ya 20, usikurupuke no mtego huo
 
Back
Top Bottom