Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ila cha ajabu ameingia fainali ya CAF CC akajizolea point 4Yaani kuna kudumaa kama kuingia makundi baada ya nusu karne.Yaani tokea Mwalimu Nyerere afariki.Utawala wa Kikwete na Marehemu Magufuli Utopolo walikuwa bado wanasota kuingia makundi.
Ambazo zikazidishwa mara tano akapata point 20
Mwaka huu hatuna haraka
Acha twone
Hizo point zako 35 siyo nyingi
Yanga akikaza misimu miwili mfululizo kuingia mskundi au nusu fainali anakukuta vizuri tu
Lengo lilikuwa makundi tushavuna point tayari
Acha twone yajayo