Data za CAF kwa kipindi cha miaka mitano '5yearsranking'

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' ||

Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano.

Kwa klabu za Tanzania Simba inashika nafasi ya tisa [9] na Yanga nafasi ya kumi na nane [18].

Takwimu hizi kwa msimu wa 2023/24 Alama ambazo klabu zitakusanya kwa msimu huu zitabadilisha muoonekano wa jedwali Kwa msimu wa 2024/25.

HATUFANANI.
 
Imewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Simba misimu 5, nafasi ya 9! Huku Yanga wakitumia msimu mmoja tu , kutoka nafasi ya 78 mpaka nafasi ya 18!!

Kwa trend ya aina hii, Yanga akimaliza misimu 5 kama simba, basi atakuwa nafasi ya 1 Afrika.
 
Heeee
 
Imewachukua misimu mingapi kufika no9? na Yanga imewachukua misimu mingapi kufika no 18?
Hapo lazima tujue hizi timu zilianza kushiriki huko caf mwaka gani, ukishajua mwaka walioanza kushiriki inakuwa simpo tu
 
Ukiondoa 20 b ambayo MO anadai amewekeza Simba, Mpaka sasa amenukuliwa akisema amesha tumia bilion 55 cha kushangaza bado timu haivuki robo.
Yaani ukisikia kudumaaa ndio uku.
 
Yaani kuna kudumaa kama kuingia makundi baada ya nusu karne.Yaani tokea Mwalimu Nyerere afariki.Utawala wa Kikwete na Marehemu Magufuli Utopolo walikuwa bado wanasota kuingia makundi.
 
|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' ||

Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano.

Kwa klabu za Tanzania Simba inashika nafasi ya tisa [9] na Yanga nafasi ya kumi na nane [18].

Takwimu hizi kwa msimu wa 2023/24 Alama ambazo klabu zitakusanya kwa msimu huu zitabadilisha muoonekano wa jedwali Kwa msimu wa 2024/25.

HATUFANANI.
Yanga akifika nusu fainali CAF CL atajizolea point ngapi?
 
Back
Top Bottom