Ila cha ajabu ameingia fainali ya CAF CC akajizolea point 4Yaani kuna kudumaa kama kuingia makundi baada ya nusu karne.Yaani tokea Mwalimu Nyerere afariki.Utawala wa Kikwete na Marehemu Magufuli Utopolo walikuwa bado wanasota kuingia makundi.
Kwa hiyo kwa robo karne ndio mmeweza kupata pointi 4?Ila cha ajabu ameingia fainali ya CAF CC akajizolea point 4
Ambazo zikazidishwa mara tano akapata point 20
Mwaka huu hatuna haraka
Acha twone
Hizo point zako 35 siyo nyingi
Yanga akikaza misimu miwili mfululizo kuingia mskundi au nusu fainali anakukuta vizuri tu
Lengo lilikuwa makundi tushavuna point tayari
Acha twone yajayo
Ushabiki maandazi hadi kwenye vitu vya msingiMakundi robo karne.Nusu fainali labda karne 2.Akifika ni ndoto tu kama ya Ali Nacha.Lengo asiwe wa mwisho kwenye kundi.Kwani mara ya mwisho robo karne iliyopita alikuwa wa mwisho akiwa na pointi 2.
Wewe hizo point 3 ulizopata kwa miaka yote ulipokuwa ukogotea robo yanga akikaza anaweza zipata zote kwa msimu mmoja au miwiliKwa hiyo kwa robo karne ndio mmeweza kupata pointi 4?
Malengo kweli ni kufika makundi fanya mchezo na robo karne!!!!
Ikishafika kitambo haitakuwa ajabuSiku simba ikifika nusu fainali yoyote Africa naacha shangilia mpira
mbona point kumi na tano ni chache sanaAla kumbe mmeachwa na Simba kwa pointi 15 halafu wavimba macho wenzako walikuwa wanasema ohh Simba kapendelewa kwenye AFL.
Kuna timu hapo kwenye huu ukanda wetu ipo juu ya Simba?Kumbe hata saa mbovu kuna wakati inapatia muda sahihi. Sasa waelimishe Utopolo wenzako kwamba ranking hazisemi uongo.
Hio nafasi ya 18 kaitafuta kwa miaka zaidi ya 20, usikurupuke no mtego huoSimba misimu 5, nafasi ya 9! Huku Yanga wakitumia msimu mmoja tu , kutoka nafasi ya 78 mpaka nafasi ya 18!!
Kwa trend ya aina hii, Yanga akimaliza misimu 5 kama simba, basi atakuwa nafasi ya 1 Afrika.