Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kipato cha Neymar ni sawa na kilivokua kipato cha Ndikumana!!alafu starehe ya mwenzio wewe unaiita ulimbukeni kweli...dada mwenyewe kama kachongwa!
Na unaweza kukuta ndugu zake wengine wa Neymar hali c nzuri kimaisha na yy anaendekeza ulimbukeni!
wakati wengine wanatumiwa Private jet
wengine zinatumwa 400 za nauli ya daladala
Hahahahah...nimecheka hadi kupaliwa...aisee
jamani lloh
baba naniliu ntumie ht baiskeli inifate pleaaaas
wakati wengine wanatumiwa Private jet
wengine zinatumwa 400 za nauli ya daladala
Kachongwa kweli hayo maziwa sio ya kawaida....ila nimempendea height kaajaliwa kweli
Huyu hamfikii wema
Hihihi...kama nakuona unavyosema pulizzzz
tatizo hamtaki kutumia fursaWatu na bahati zao
wakati wengine wanatumiwa Private jet
wengine zinatumwa 400 za nauli ya daladala
Nimekusoma!Da Neema naye ana date mwanamke?
wakati wengine wanatumiwa Private jet
wengine zinatumwa 400 za nauli ya daladala